Benki ya Dunia yajitoa Rasmi Kufadhili Mradi wa REGROW Kwa Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Wananchi Wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha

Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko WB Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua eneo la hifadhi ya Ruaha ambapo zaidi ya wana Vijiji 21,000 wangepoteza Makazi Yao pamoja na Mali zingine.
World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims

Swali.
Yaani Kituo Cha Haki za Binadamu Tanzania na TLS hawaoni haya Ili wawasaidie Wananchi Hadi Wazungu ndio waje? Au hizo taasisi wenyewe kwao Wanasiasa wa Chadema ndio wanastahili Huduma zao pekee?

Mradi wa REGROW ulikuwa ni ufadhili wa Benki ya Dunia wa $150mln( Takribani Bilioni 350) uliolenga kukuza Utalii hifadhi za Kusini.

My Take
Kama taarifa hii ni kweli basi naishauri Serikali ,kama inataka kuongeza Ukubwa wa eneo la hifadhi ya Ruaha iwahamishe Wananchi Kwa Staha kama wanavyofanya huko Ngorongoro badala ya kuwafurusha.

Ngorongoro wanahamishwa kaya pamoja na mifugo Yao ,wanalipwa fidia na wanapewa maeneo,Kwa nini wasifanye hivi Ruaha?

Aidha Serikali iwachukulie hatua Askari wa TANAPA ambao walishiriki kuwatendea ndivyo sivyo Wanavijiji Hadi kutufikisha hapa Kwa kukosa weledi.

Pia soma Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
Serikali ya chama gani inawafanyia haya hawa watanzania?
 
Kumbe na Muda wa Kurekebisha walipewa kabisa ila kiburi cha madaraka kwa Mwigulu and the gang... Mtoa mada umeshindwa kumtaja na kumlaumu Mwigulu umekimbilia kwa TLS na Tume Ya Haki Za Binadamu. Sasa Hao wangerekebisha nini?

My friend ChoiceVariable pamoja na kua ni strong upholder wa Chama na Viongozi wake ila baadhi ya mada tumia akili masta. Kua open, blue weka blue nyeupe iwe nyeupe. Kama nia ni kujenga nchi kweli na sio kuibomoa michadema..

Soma hapa..
 
Hakuna anaeona thamani ya Wanavijiji.Ukweli.ni kwamba Askari wa uhifadhi wote kuanzia TFS,TaNapa,Tawa Huwa wanawatesa sana Wananchi ni makatili kweli kweli usije omba kukumbana nao.
 
Bwana we sheria ya Tanzania inampa nafasi mtanzania yeyote haki ya kufungua kesi pale anapoona jinai imetendeka, pia kuna mahakama ya Africa ipo hapo Arusha. Kwanini wewe usifungue hiyo kesi mkuu!!. ChoiceVariable
Mimi sio muathirika ndio maana waathirika wamefungua kesi.Ila nauliza Kituo Cha Haki za binadamu na TLS wenye jukumu hilo.moja Kwa Moja Kwa nini wasiwasaidie Wananchi?
 
Jukumu ni la watanzania wote kulindana na kuteteana pale unapoona haki haijatendeka. Unaposema wewe si muathirika hata hao TLS na Kituo cha Haki za binadamu wanaweza wakaja na claim hiyo hiyo.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko WB Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua eneo la hifadhi ya Ruaha ambapo zaidi ya wana Vijiji 21,000 wangepoteza Makazi Yao pamoja na Mali zingine.
World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims World Bank cancels $150m tourism project in Tanzania after abuse claims

Swali.
Yaani Kituo Cha Haki za Binadamu Tanzania na TLS hawaoni haya Ili wawasaidie Wananchi Hadi Wazungu ndio waje? Au hizo taasisi wenyewe kwao Wanasiasa wa Chadema ndio wanastahili Huduma zao pekee?

Mradi wa REGROW ulikuwa ni ufadhili wa Benki ya Dunia wa $150mln( Takribani Bilioni 350) uliolenga kukuza Utalii hifadhi za Kusini.
Soma zaidi hapa Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Mradi wa REGROW Hifadhi ya Taifa Ruaha

My Take
Kama taarifa hii ni kweli basi naishauri Serikali ,kama inataka kuongeza Ukubwa wa eneo la hifadhi ya Ruaha iwahamishe Wananchi Kwa Staha kama wanavyofanya huko Ngorongoro badala ya kuwafurusha.

Ngorongoro wanahamishwa kaya pamoja na mifugo Yao ,wanalipwa fidia na wanapewa maeneo,Kwa nini wasifanye hivi Ruaha?

Aidha Serikali iwachukulie hatua Askari wa TANAPA ambao walishiriki kuwatendea ndivyo sivyo Wanavijiji Hadi kutufikisha hapa Kwa kukosa weledi.

Pia soma Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow
https://www.jamiiforums.com/threads...i-za-binadamu-kwenye-mradi-wa-regrow.2166174/
Siyo WB wamejitoa, nI SERIKALI ndo imefunga mradi wa REGROW baada ya kiherehere Cha WB.

Suala la mabadiliko ya mipaka ya Hufadhi ya Ruaha yalifanyika miaka ya kutosha huko nyuma back to 2016 wakati SAMAIA akiwa Makamu wa RAIS na ndiye aliyekuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Mawaziri waliosimamia zoezi.

REGROW imekuja 2020 na WB walitaka kutumia REGROW kama Fimbo ya kushughulikia na mambo ya miaka mingi nyuma ambayo yalikuwa Kwa maslahi mapana ya Taifa.

Serikali ikasema wasilete za kuleta, dawa ni kufunga mradi ambao kimsingi ni Mkopo, siyo grant.

Miradi iliyokuwa imeanza kutekelewa Kwa Mkopo huo inaendelea kama kawaida kupitia fedha za Serikali.
 
Kumbe na Muda wa Kurekebisha walipewa kabisa ila kiburi cha madaraka kwa Mwigulu and the gang... Mtoa mada umeshindwa kumtaja na kumlaumu Mwigulu umekimbilia kwa TLS na Tume Ya Haki Za Binadamu. Sasa Hao wangerekebisha nini?

My friend ChoiceVariable pamoja na kua ni strong upholder wa Chama na Viongozi wake ila baadhi ya mada tumia akili masta. Kua open, blue weka blue nyeupe iwe nyeupe. Kama nia ni kujenga nchi kweli na sio kuibomoa michadema..

Soma hapa..
Kurekebisha nini na Mwigulu nakujaje hapo. WB siyo Mungu wa Tanzania.

Kwa ufupi waliyopata hasara kubwa ni WB, siyo Tanzania maana hizo Hela zilikuwa Mkopo wa riba. Siyo msaada.
 
Benki ya Dunia Yatoa "Ultimatum" ya Siku 30 Kwa Tanzania Kumaliza Mgogoro wa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwenye Mradi wa Regrow

Suala la mabadiliko ya mipaka ya Hufadhi ya Ruaha yalifanyika miaka ya kutosha huko nyuma back to 2016 wakati SAMAIA akiwa Makamu wa RAIS na ndiye aliyekuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Mawaziri waliosimamia zoezi.

REGROW imekuja 2020 na WB walitaka kutumia REGROW kama Fimbo ya kushughulikia na mambo ya miaka mingi nyuma ambayo yalikuwa Kwa maslahi mapana ya Taifa.

Serikali ikasema wasilete za kuleta, dawa ni kufunga mradi ambao kimsingi ni Mkopo, siyo grant.

Miradi iliyokuwa imeanza kutekelewa Kwa Mkopo huo inaendelea kama kawaida kupitia fedha za Serikali.
Fimbo kivipi? Madai ya Wananchi ni sawa au siyo? Nini ilikuwa mapendekezo ya hiyo kamati?

By the way ukifungua hiyo link nimeona kwamba Kuna maelezo.kwamna Serikali ilifinga huo mradi mwaka Jana mwisho which means ni baada ya kushindwana na WB.
 
https://www.jamiiforums.com/threads...i-za-binadamu-kwenye-mradi-wa-regrow.2166174/

Suala la mabadiliko ya mipaka ya Hufadhi ya Ruaha yalifanyika miaka ya kutosha huko nyuma back to 2016 wakati SAMAIA akiwa Makamu wa RAIS na ndiye aliyekuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Mawaziri waliosimamia zoezi.

REGROW imekuja 2020 na WB walitaka kutumia REGROW kama Fimbo ya kushughulikia na mambo ya miaka mingi nyuma ambayo yalikuwa Kwa maslahi mapana ya Taifa.

Serikali ikasema wasilete za kuleta, dawa ni kufunga mradi ambao kimsingi ni Mkopo, siyo grant.

Miradi iliyokuwa imeanza kutekelewa Kwa Mkopo huo inaendelea kama kawaida kupitia fedha za Serikali.
Sawa, lakini kuna hoja hapa ya watu kutendewa ndivyo sivyo. Hili unalisemaje? Je madai haya ya ChoiceVariable yana ukweli?
 
CCM ndio iliwatima Game Rangers wawafanyie mambo yasiyofaa Wananchi?
Kuwa na akili basi, kuna mtu au kampuni yoyote inaweza kuvamia eneo na kunyanyasa wananchi bila kuruhusiwa na watawala ambao ni CCM?
Mnavyouza bandari na kuhamisha watu ngoroñgoro ni nani anayefànya hayo yote kama siyo CCM?
 
Kurekebisha nini na Mwigulu nakujaje hapo. WB siyo Mungu wa Tanzania.

Kwa ufupi waliyopata hasara kubwa ni WB, siyo Tanzania maana hizo Hela zilikuwa Mkopo wa riba. Siyo msaada.
Yaani tukakope sisi Kuendeleza hifadhi harafu WB apate hasara tena?
 
Back
Top Bottom