Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

Kwahiyo chanzo cha tatizo hapo ni forgery ya nyaraka alizofanya huyo mume. Hivyo basi, proceedings zozote inabidi zisimamenhadi kesi ya msingi juu ya forgery iamuliwe. Na kama itaonekana documents za dhamana zilizowasilishwa benki ni feki (forgery), basi benki inakuwa imetapeliwa.
 
Sijaona hoja kwa huyo mama muandishi wa habari. Ni kweli kuna mkopo na anajua na figure anaijua. Hoja kwamba ametengana na mume hiyo unahusikaka vipi na Bank?

Na ni ngumu mwanandoa kuweka nyumba dhamana Bank bila mwenza ku sign.
Documents zimekuwa forged ili nyumba ionekane ni yake peke yake, na kesi yabforgery ipo mahakamani. Acha kucomment bila kusoma thread yote.
 
Aisee! Kama hawaishi pamoja ni dhahiri huyo mume amefanya kusudi kutolipa hilo deni akijua fika nini kitatokea.
 
Kuna mambo hayako sawa. Je hiyo forgery ilikuja baada ya kuchukua mkopo au la? Mwanamke anajua kuhusu deni it means alishirikishwa wakati mume anachukua mkopo. Anasema hakushirikishwa kuhusu mnada, hapo hapo anasema benki wamefuata taratibu zote za mnada.
 
Mi ufisadi yani kiwanja tuu ni zaidi ya 50m sasa kwanini asingeenda kukopa
 
Kwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.

Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
we watu wengi mno ni majiri Leo kwa fedha za mikopo
 
Nyumba imeuzwa tayari.

Dai talaka sasa ili upambane kivyako.

Usipoteze nguvu nyingi mahakamani, mengine Mungu atalipa.
 
Ukweli kuna muda mpaka bank wanauza nyumba, huwa kuna uzembe unafanyika kwa mkopaji. Tuwe naomba ushauri hata kama tumekwama kuhakikisha tunaokoa.
 
Angeshirikishwa kwenye kukopa angeends kufungua kesi ya forgery? Au pangekuwa na haja ya kufoji?
 
Mwanamke alipaswa kutafuta msaada was kisheria lakini akakimbilia Kwa mkuu wa wilaya
Kwa sasa ilitengenezwa tararibu (practice) kuwa benki hawauzi nyumba mpaka wamepata kibali cha mkuu wa wilaya, kwa hiyo ilikuwa sawa tu kwa huyo mama kukimbilia huko.

Msingi wa utaratibu huo ni kwa kuwa wakuu wa wilaya walikuwa wanakimbiliwa tena na wadaiwa mara baada ya nyumba zao kuuzwa, wanakuja kwa DC kuomba hifadhi, ndio ikaonekana ni bora DC awasaidie hao wadaiwa kwa kujadili na wadai kuwa waongeze muda wa malipo nk
 
Mbona anasema anajua kuhusu mkopo?
Anaweza kuwa amejua wakati wamezinguana na mume wake, labda jamaa akasema na hiyo nyumba nimeikopea..kwa hiyo atasema anajua kuhusu huo mkopo, kujua haimaanishi kuwa ameukubali
 
Si ssafate waramba asali wamsaidie mbona yeye ana wateteaga kwenye Gazeti lako, Magufuli alivunja katiba kumtumbua CAG

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Wamemuibia hapo wangeweza kuongeza muda wa kulipa na kupunguza kiwango cha kulipa kwa mwezi ni vile wazurumati wapo pamoja na wafanyakazi wa Benk hiyo nyumba inaonekana imeuzwa 30m ila mnunuzi anatoa zaidi ili wafanyakazi wa benk nao wapate chao...hizo nyumba za hivyo kuishi zinakua na mitihani sana.
 
Hii kesi tusijaji upande mmoja,

Huenda Kuna kitu nyuma ya pazia huyu MKE anatuficha.

Hakuna mwanaume mjinga wa kiasi hicho kwa nyumba ya thamani iyo afu akakopee mkopo wa million 5.

I smell something fishy
Million 5 Ni Deni lililokuwa limebaki.... Nilivyoelewa hapa.
 
Utaratibu huwa Ni upi?? Tunaomba ufafanuzi kwa faida ya sisi wananchi wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…