Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nenda bankOut of mada,wadau nimesahau password yangu ya kadi ya nmb,utaratibu ukoje jinsi ya kupata password mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda bankOut of mada,wadau nimesahau password yangu ya kadi ya nmb,utaratibu ukoje jinsi ya kupata password mpya.
Documents zimekuwa forged ili nyumba ionekane ni yake peke yake, na kesi yabforgery ipo mahakamani. Acha kucomment bila kusoma thread yote.Sijaona hoja kwa huyo mama muandishi wa habari. Ni kweli kuna mkopo na anajua na figure anaijua. Hoja kwamba ametengana na mume hiyo unahusikaka vipi na Bank?
Na ni ngumu mwanandoa kuweka nyumba dhamana Bank bila mwenza ku sign.
Kuna mambo hayako sawa. Je hiyo forgery ilikuja baada ya kuchukua mkopo au la? Mwanamke anajua kuhusu deni it means alishirikishwa wakati mume anachukua mkopo. Anasema hakushirikishwa kuhusu mnada, hapo hapo anasema benki wamefuata taratibu zote za mnada.Kwahiyo chanzo cha tatizo hapo ni forgery ya nyaraka alizofanya huyo mume. Hivyo basi, proceedings zozote inabidi zisimamenhadi kesi ya msingi juu ya forgery iamuliwe. Na kama itaonekana documents za dhamana zilizowasilishwa benki ni feki (forgery), basi benki inakuwa imetapeliwa.
we watu wengi mno ni majiri Leo kwa fedha za mikopoKwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.
Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
hee FINCA nayo ni benki?
ndiyo maana m-power ni ya hovyo mpaka niliamua kujitoa. Inchort wakopeshaji mitandaoni ni wezi tuHao FINCA ndo wanaendesha biashara ya M-PAWA ndani ya Vodacom
Angeshirikishwa kwenye kukopa angeends kufungua kesi ya forgery? Au pangekuwa na haja ya kufoji?Kuna mambo hayako sawa. Je hiyo forgery ilikuja baada ya kuchukua mkopo au la? Mwanamke anajua kuhusu deni it means alishirikishwa wakati mume anachukua mkopo. Anasema hakushirikishwa kuhusu mnada, hapo hapo anasema benki wamefuata taratibu zote za mnada.
Mbona anasema anajua kuhusu mkopo?Angeshirikishwa kwenye kukopa angeends kufungua kesi ya forgery? Au pangekuwa na haja ya kufoji?
Kwa sasa ilitengenezwa tararibu (practice) kuwa benki hawauzi nyumba mpaka wamepata kibali cha mkuu wa wilaya, kwa hiyo ilikuwa sawa tu kwa huyo mama kukimbilia huko.Mwanamke alipaswa kutafuta msaada was kisheria lakini akakimbilia Kwa mkuu wa wilaya
Anaweza kuwa amejua wakati wamezinguana na mume wake, labda jamaa akasema na hiyo nyumba nimeikopea..kwa hiyo atasema anajua kuhusu huo mkopo, kujua haimaanishi kuwa ameukubaliMbona anasema anajua kuhusu mkopo?
Si ssafate waramba asali wamsaidie mbona yeye ana wateteaga kwenye Gazeti lako, Magufuli alivunja katiba kumtumbua CAGView attachment 2436797
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo.
Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya Kinyerezi, Mtaa wa Kichangani ilipigwa mnada siku chache zilizopita na tayari mwandishi huyo na familia yake wametakiwa kutoka ndani ya nyumba ndani ya siku 14, leo Desemba 5, 2022 ikiwa ni siku ya 9 kati ya siku alizopewa kuhama.
Mary amesema taarifa hiyo ni ya ukweli na kudai kuwa alikuwa akifahamu juu ya deni hilo la mumewe lakini hakuwa anajua kilichokuwa kikiendelea hadi kufikia hatua ya nyumba hiyo kupigwa mnada.
“Nilikuwa Dodoma katika shughuli zangu za uandishi wa habari, nikapokea simu kutoka Serikali ya Mtaa kunijulisha kuwa nyumba yangu inapigwa mnada.
“Niliporejea nikapata nakala ya barua ya taratibu za nyumba kupigwa mnada moja ikiwa imetumwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya na benki wamefuata taratibu nyingine zote inavyotakiwa, lakini hilo deni ni la mume wangu ambaye kwa sasa hatupo naye pamoja.
View attachment 2436799
“Nimewasiliana na Mkuu wa Wilaya kumueleza hali ninayopitia kwa kuwa hii nyumba si ya mume wangu peke yake ni mali ya familia, yeye (mume) kwa sasa hayupo nasi anaishi sehemu nyingine, inamaanisha kuwa tutatakiwa kuondoka ndani ya siku hizo 14, na kuwa watatuletea mabaunsa na kututoa kwa nguvu. Mkuu wa Wilaya ameniambia anashughulikia suala langu.
“Wakati huohuo, napambana kutafuta msaada wa kisheria ili kuweka zuio kabla ya hakimu na Majaji kwenda likizo ya kufunga mwaka, kwa kuwa sikushirikishwa katika huo mchakato wao wa mnada,” anasema Mary.
Nyaraka za benki zinaonesha kuwa deni lililosalia ni Tsh. 4,759,368 (Milioni 4.7), asilimia 10 ya deni ni Tsh. 475,936, hivyo jumla deni ni Tsh. 5,235,304.
Mary ameongeza kuwa: "Naomba kama kuna yeyote ambaye anaweza kunipa msaada wa kisheria anisaidie katika hilo kwa kuwa hapa nawazi nitaishi vipi na wanangu, kwanu hata huyo mume bado nina kesi naye kwa kuwa alibadili nyaraka na kuofanya nyumba ionekane ya kwake peke yake wakati hii nyumba ni ya familia, nina watoto, nitaenda wapi mimi na watoto wangu!
View attachment 2436800
View attachment 2436801
Million 5 Ni Deni lililokuwa limebaki.... Nilivyoelewa hapa.Hii kesi tusijaji upande mmoja,
Huenda Kuna kitu nyuma ya pazia huyu MKE anatuficha.
Hakuna mwanaume mjinga wa kiasi hicho kwa nyumba ya thamani iyo afu akakopee mkopo wa million 5.
I smell something fishy
Utaratibu huwa Ni upi?? Tunaomba ufafanuzi kwa faida ya sisi wananchi wa kawaida.Inaonekana kuna issues kati yake na mumewe, na kulikuwa na ujanja ujanja kwenye huo mnada, kwa ufupi sheria hazikufuatwa, kwa Judge mzuri anayefuata sheria ata reverse kila kitu hapo na mnada kuwa batili, mama una kesi tafuta lawyer mzuri, hii kesi sio ngumu