Biashara ya benki ni difference between lending rate and borrowing rate. Kwa nini ukafungie mapesa Benki Kuu? Hiyo approach ya Mwendazake ya kuweka pesa benki kuu ni "uchumi wa kibubu wa bibi kizee"Labda sasa benki zimeanza kuikopesha serikali hela zake kama ilivyokua enzi ya awamu ya 4.ππ Hebu wajuzi watuhabarishe kama kwa vipi benki sasa ni faida tu
Nadhani anaheshimu taaluma za watu. Kakubali kuwa hajui kila kitu hivyo anawaachia wenye fani zao wawe huru katika uga wanaoufahamu vyema.Rais Samia anafanya mambo makubwa kirahisi tu
Alidhani anajua kila kitu. Kiburi cha kiume kilimtesa sana.Perfectly and well out. Hayo ndiyo matokeo ya conducive business environment and investment climate.
Mwendazake alikuwa HOSTILE na foreign investors na alikuwa reckless tyrant hata kwa local business people.
He had to DIE by any means for our country to escape becoming another Zimbabwe. Praise to our God
Nyinyi wengine zipo benki zenu za kuwakopesha. Usitishe watu bila sababu.Benki wanakopesha wawekezaji toka nje, watumishi wa umma na sekta binafsi(kununua magari), pia Wanakopesha makampuni ya malori,mabasi ya mikoani na masheli, pia wanakopesha biashara zenye miaka 3 mpaka 10 zinazoingiza faida. Ninyi wengine msijiahangaishe kwenda kutafuta mikopo hata ukiwa na hati ya 10000 square meter.
ZitajeNyinyi wengine zipo benki zenu za kuwakopesha. Usitishe watu bila sababu.
Mkuu naelewa kuna mpaka mikopo ya interbank inayo mature ndani ya siku moja na wana trade kupitia TISS and faida inaonekana within hours.Haya yalishindwaje kutokea mwaka jana, Kumbuka mabenki haya yanatoa "Working capital Loan " ambayo inalipwa bila grace period,
Ukipewe leo mkopo unarejesha tarehe kama ya leo mwezi ujao,
EMI= PRINCIPLE +INTEREST
Faida ya haya mabenki ni papo kwa papo sio mpaka mwaka uishe
Mkombozi Bank na nyingine za aina hiyo.Zitaje
Mkuu naelewa kuna mpaka mikopo ya interbank inayo mature ndani ya siku moja na wana trade kupitia TISS and faida inaonekana within hours.
But issue ni UKWASI.... kumbuka BOT ilishusha reserve ratio mwaka jana so ceilinga ya ukwasi ikapanda bado hiyo relief fund ya maelfu ya billion so obviously hizo policy changes ndio zimeleta ahueni.
Sasa kuna faida hauwezi ziona kwa muda mfupi maana bado una adjust na mabadiliko. Mfano Waziri wa uchumi alisema wataingiza 5 trillion ku stimulate uchumi yaani waongeze demand deposits + currency in circulation + Velocity etc ila sasa faida zake zitaonekana miaka hata 3 baadae maana zikiingizwa kwa mkupuo zitaua uchumi sababu ya mfumuko wa bei n.k
So faida ya sera za mama zitaonekana pengine hata akiwa ametoka madarakani hyo 2025. Mama kaingia March kweli miezi 6 ndio abrupt changes wakati hata reshuffle za ofisi hajamaliza hapo BOT!!?
Naona mnampa credit mwanasiasa na kusahau BOT ambao ndio real champions!
Vigezo vyao ni vipi?Mkombozi Bank na nyingine za aina hiyo.
Mkombozi wapo pale karibu na kanisa la Saint Joseph wafuate wakwambie, usisumbue watu.Vigezo vyao ni vipi?
Samahani kwa usumbufu. Naomba unisamehe.Mkombozi wapo pale karibu na kanisa la Saint Joseph wafuate wakwambie, usisumbue watu.
Duh inawezekana kuna ukweli manake sasa mizigo imekuwa mingi bandarini mpaka sisi watu wa logistics tunakosa magari ya kubeba mizigo kupeleka nchi jirani...ni shida kweli kweliMaana yake nchi iko vizuri sana,
Maana yake biashara zimefunguka
Maana yake Sera za kiuchumi za awamu ya tano zinalipa,
Maana yake Samia anaupiga mwingi,
Maana yake Tanzania tunakwenda vizuri
Umeongea point kubwa sanakwa Tanzania ya sasa ni ngumu sana kuamini takwimu, kuwaamini wataalamu nk. inabidi kusubiri mpaka awamu ijayo ndio tunajua ukweli na uwongo wa awamu iliyopita.
Utaamini nini sasa mkuu?Umeongea point kubwa sana
Coz ubaya mpk utoke kwenye uongozi ndio wanakusema ubaya wakoUtaamini nini sasa mkuu?
NdioMkombozi Bank na nyingine za aina hiyo.