Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Biashara ya benki ni difference between lending rate and borrowing rate. Kwa nini ukafungie mapesa Benki Kuu? Hiyo approach ya Mwendazake ya kuweka pesa benki kuu ni "uchumi wa kibubu wa bibi kizee"Labda sasa benki zimeanza kuikopesha serikali hela zake kama ilivyokua enzi ya awamu ya 4.😂😂 Hebu wajuzi watuhabarishe kama kwa vipi benki sasa ni faida tu