LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."

Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara.

Kupata mijadala ya Uchaguzi Serikali za Mitaa kimkoa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Kumekuchaa, Lissu anatumika na CCM kuvuruga upinzani, hata matamko ya CCM na Lissu ni kama yamepangwa, yanapishana dakika tano tu, kwamba wewe ongea, halafu.ntajibu.

Wakati wa zoezi alikuwa ubelgiji
 
Naona ccm mbafurahi lakini kumbukeni rushwa mnayotoa vyamani na makanisani haitawasaia huko mbeleni
 
Kumekuchaa, Lissu anatumika na CCM kuvuruga upinzani, hata matamko ya CCM na Lissu ni kama yamepangwa, yanapishana dakika tano tu, kwamba wewe ongea, halafu.ntajibu.

Wakati wa zoezi alikuwa ubelgiji
Lissu kasema ukweli
 
"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."

Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara.

View attachment 3151603
Acha uoga dogo, huyo ropo ropo wenu kila siku anayasema hayo wewe unakuja na ngonjera hapa. Wewe tamka tuu unamsema LISSU.
 
"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."

Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara.

View attachment 3151603
Zimeaza kukichapa
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka siku ya jana akiwa anaongea na waandishi wa habari, Tundu Lissu alisema kuwa kutokana na mambo yanayoendelea ni kama Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa umeisha.

Lissu alisema kuwa kwa sasa CHADEMA inapaswa kujipanga upya na kwamba inabidi wajikite zaidi kwenye kutafuta tume huru na Katiba mpya

Soma pia: Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

Siku ya leo Benson Kagaila ni kama amejibu kauli ya Lissu kwa kusema kuwa mtu yeyote ambaye anasema CHADEMA hawakujiandaa na Uchaguzi anafanya kazi ya CCM makusudi

"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."

====================================================

Kwa matamko haya yanavyopishana muda si muda utasikia Lissu kajitoa CHADEMA

Source: Habari Mpya
 
Siasa za Tanzania ni very predictable, JF ni leader wa ‘herd behaviour’ yaaani mtu ataanzisha mada, ataweka title yake na maudhui yake (likely with misunderstood) interpretation ya message kutoka original source.

Wachangiaji wa hiyo mada most of whom are gullible, won’t bother to seek the original source, watachangia hiyo mada kwa kufuata ‘content’ za hiyo mada na huo ndio utakuwa mtazazo wao.

Nimeshangaa na viongozi wa CDM nao ni JF herds, kama umemsikiliza Lissu mwanzo mwisho hakuna sehemu aliyosema CDM isusie uchaguzi zaidi ya kuhitimisha kilichotokea kwenye kuenguana mpaka anaongea (kabla ya Nchimbi) wao tena hawana cha kufanya kuwarudisha walioenguliwa na sio waliobaki wasigombe.

Alitoa maelezo yana imply wagombea wa Ikungi wengi waliopo vijijini hawana huo uwezo wa kwenda ilipo ya msimamizi wa uchaguzi kukata rufaa. Kwa upande wao walipeleka rufaa za watu wote kwa pamoja wakaambiwa, wahusika waende wenyewe hiyo sasa ni mission impossible kwa hali za wagombea kwa jinsi anavyowajua.

Sasa viongozi wa CDM kumu-attack Lissu nimeshangaa (ila sio) sana, nilijua tu ile mada iliyoanzishwa JF ndio itakuwa leading narrative ya alichoongea Lissu, contrary na message yake yote.

Halafu kwa ile press conference ya CDM Arusha zile lugha tu za viongozi wao, kweli kuna mtu anaweza wachukulia serious na kuwapa kura kwenye nafasi za kitaifa.

Ndio maana wengine uwa tunasema CDM ni time wasters tu.
 
Kwa matamko haya yanavyopishana muda si muda utasikia Lissu kajitoa CHADEMA
Of course, alichokifanya Lisu ni sawa na mtu anayetoa siri za kambi ama mke anayetoa siri za ndani ya ndoa yake.
 
Siasa za Tanzania ni very predictable, JF ni leader wa ‘herd behaviour’ yaaani mtu ataanzisha mada, ataweka title yake na maudhui yake (likely with misunderstood) interpretation ya message kutoka original source.

Wachangiaji wa hiyo mada most of whom are gullible, won’t bother to seek the original source, watachangia hiyo mada kwa kufuata ‘content’ za hiyo mada na huo ndio utakuwa mtazazo wao.

Nimeshangaa na viongozi wa CDM nao ni JF herds, kama umemsikiliza Lissu mwanzo mwisho hakuna sehemu aliyosema CDM isusie uchaguzi zaidi ya kuhitimisha kilichotokea kwenye kuenguana mpaka anaongea (kabla ya Nchimbi) wao tena hawana cha kufanya kuwarudisha walioenguliwa na sio waliobaki wasigombe.

Alitoa maelezo yana imply wagombea wa Ikungi wengi waliopo vijijini hawana huo uwezo wa kwenda ilipo ya msimamizi wa uchaguzi kukata rufaa. Kwa upande wao walipeleka rufaa za watu wote kwa pamoja wakaambiwa, wahusika waende wenyewe hiyo sasa ni mission impossible kwa hali za wagombea kwa jinsi anavyowajua.

Sasa viongozi wa CDM kumu-attack Lissu nimeshangaa (ila sio) sana, nilijua tu ile mada iliyoanzishwa JF ndio itakuwa leading narrative ya alichoongea Lissu, contrary na message yake yote.

Halafu kwa ile press conference ya CDM Arusha zile lugha tu za viongozi wao, kweli kuna mtu anaweza wachukulia serious na kuwapa kura kwenye nafasi za kitaifa.

Ndio maana wengine uwa tunasema CDM ni time wasters tu.
Siyo JF tu. Watanzania wengi hawawezi ku oppose the premise.

Ni ustaarabu fulani wa kijinga sana.
 
Back
Top Bottom