Wakuu,
Kama mnakumbuka siku ya jana akiwa anaongea na waandishi wa habari, Tundu Lissu alisema kuwa kutokana na mambo yanayoendelea ni kama Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa umeisha.
Lissu alisema kuwa kwa sasa CHADEMA inapaswa kujipanga upya na kwamba inabidi wajikite zaidi kwenye kutafuta tume huru na Katiba mpya
Soma pia: Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko
Siku ya leo Benson Kagaila ni kama amejibu kauli ya Lissu kwa kusema kuwa mtu yeyote ambaye anasema CHADEMA hawakujiandaa na Uchaguzi anafanya kazi ya CCM makusudi
====================================================
Kwa matamko haya yanavyopishana muda si muda utasikia Lissu kajitoa CHADEMA
Source: Habari Mpya
Mwongo sana wewe.
Kigaila alikuwa akijibu hoja ya Nchimbi Mengine umeongeza mwenyewe mkuu