The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Naona ccm mbafurahi lakini kumbukeni rushwa mnayotoa vyamani na makanisani haitawasaia huko mbeleniKumekuchaa, Lissu anatumika na CCM kuvuruga upinzani, hata matamko ya CCM na Lissu ni kama yamepangwa, yanapishana dakika tano tu, kwamba wewe ongea, halafu.ntajibu.
Wakati wa zoezi alikuwa ubelgiji
na wewe tutakupa ubunge wa viti maalum kama MbatiaBenson mkewe alipewa ubunge na Shujaa Magufuli 😂😂
Wakinyanduana kweli hawezi kutoa siri kwa huyo jasusi maana sisi wanaume tukizama kati wakati mwingine tunaropoka.Benson mkewe alipewa ubunge na Shujaa Magufuli 😂😂
Mpeni Benson maana mkewe mbereko haipo tenana wewe tutakupa ubunge wa viti maalum kama Mbatia
Lissu kasema ukweliKumekuchaa, Lissu anatumika na CCM kuvuruga upinzani, hata matamko ya CCM na Lissu ni kama yamepangwa, yanapishana dakika tano tu, kwamba wewe ongea, halafu.ntajibu.
Wakati wa zoezi alikuwa ubelgiji
ukute wewe ndio mke mwenyewe, dunia ina siri sana hiiMpeni Benson maana mkewe mbereko haipo tena
Ulale Unono 🐼ukute wewe ndio mke mwenyewe, dunia ina siri sana hii
Acha uoga dogo, huyo ropo ropo wenu kila siku anayasema hayo wewe unakuja na ngonjera hapa. Wewe tamka tuu unamsema LISSU."Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."
Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara.
View attachment 3151603
Zimeaza kukichapa"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."
Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara.
View attachment 3151603
Rais ana nafasi kumi kuteua yeyote kuwa mbunge. Viti maalum wanateuliwa na vyama. Covid 19 mfano.na wewe tutakupa ubunge wa viti maalum kama Mbatia
"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa."
Hakuna amani na vita ya madaraka imetamalaki ndani ya....Chama tawala na chama kikuu cha upinzani.
Of course, alichokifanya Lisu ni sawa na mtu anayetoa siri za kambi ama mke anayetoa siri za ndani ya ndoa yake.Kwa matamko haya yanavyopishana muda si muda utasikia Lissu kajitoa CHADEMA
Siyo JF tu. Watanzania wengi hawawezi ku oppose the premise.Siasa za Tanzania ni very predictable, JF ni leader wa ‘herd behaviour’ yaaani mtu ataanzisha mada, ataweka title yake na maudhui yake (likely with misunderstood) interpretation ya message kutoka original source.
Wachangiaji wa hiyo mada most of whom are gullible, won’t bother to seek the original source, watachangia hiyo mada kwa kufuata ‘content’ za hiyo mada na huo ndio utakuwa mtazazo wao.
Nimeshangaa na viongozi wa CDM nao ni JF herds, kama umemsikiliza Lissu mwanzo mwisho hakuna sehemu aliyosema CDM isusie uchaguzi zaidi ya kuhitimisha kilichotokea kwenye kuenguana mpaka anaongea (kabla ya Nchimbi) wao tena hawana cha kufanya kuwarudisha walioenguliwa na sio waliobaki wasigombe.
Alitoa maelezo yana imply wagombea wa Ikungi wengi waliopo vijijini hawana huo uwezo wa kwenda ilipo ya msimamizi wa uchaguzi kukata rufaa. Kwa upande wao walipeleka rufaa za watu wote kwa pamoja wakaambiwa, wahusika waende wenyewe hiyo sasa ni mission impossible kwa hali za wagombea kwa jinsi anavyowajua.
Sasa viongozi wa CDM kumu-attack Lissu nimeshangaa (ila sio) sana, nilijua tu ile mada iliyoanzishwa JF ndio itakuwa leading narrative ya alichoongea Lissu, contrary na message yake yote.
Halafu kwa ile press conference ya CDM Arusha zile lugha tu za viongozi wao, kweli kuna mtu anaweza wachukulia serious na kuwapa kura kwenye nafasi za kitaifa.
Ndio maana wengine uwa tunasema CDM ni time wasters tu.