LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mwongo sana wewe.
Kigaila alikuwa akijibu hoja ya Nchimbi Mengine umeongeza mwenyewe mkuu
 
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Mbona no vitu viwili tofauti kabisa? Alichoongea lisu na huyo kigaila mbona havifanani kbsa
 
Pameanza kukichapa haya ndo madhara ya kuwa na kikundi Cha wahuni na sio chama. Chama gani hakina sera Wala hakijui kinasimamia Nini.
 
tunachotakiwa kujiuliza kauli zao zimetoka wakati upi

LISu alitamka wakati NCHIMBI hajapiga magoti kwa mwenyekiti wake
Kigaila katamka kauli tamisemi washafanyia kazi maombi ya mwenyekiti na katibu
 
Your browser is not able to display this video.

View: https://www.youtube.com/live/Xsq2VnbFZX0

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Benson Kigaila akizungumza na Waandishi wa Habari Jumatano Novemba 13, 2024 Mkoani Arusha.

Amesema “Yeyote awe Mwanachadema, awe Mwanaccm au hana chama akisema hatukujiandaa na uchaguzi, ana shida moja kati ya mbili, kwanza hakuwepo wakati wote wa zoezi lote kwahiyo hajui anachokizungumza, au anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa, mtu anayejua, aliyekuwa ‘field’ anajua tulikuwa tumejiandaa na wagombea walikuwepo.”
 
I agree with you.... Kauli ya Lissu juzi ilikuwa simple sana. Warudi kwenye misingi, hizi yumba yumba ndio zinawapa wananchi hofu juu ya hiki chama.

Wanasimamia nini? Wakati wa Slaa, identity ya chama ilikuwa inaeleweka vizuri kabisa
 
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…