Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
Pole kwa familia kuondokewa na mpendwa waoAliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufarik...
Hakuna nguvu yeyote iliyo nyuma yake.Membe mwenyewe alishindwa kupambana na musiba, siku 5 za mnada zilipita ila akashindwa kukazia hukumu. Hao waliobaki sidhani kama Wataweza kitu, nahisi kuna nguvu isiyoonekana nyuma ya musiba
Ushirikina unaaminiwa sana Nchini !! Hii ni Hatari !!Hivi hii nchi watu hawatakiwi kufariki bila kuuwawa?
Kumbe kesi ya Musiba kushtakiwa na Membe ni hiyo? Sasa Membe alishindaje wakati ilikuwa ukweli mtupu Membe alitaka yeye awe mgombea wa CCM na sio Magufuli? Kwenye mahakamani kuna mambo.Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki...
Alitaka aondoke na 9 billion za Musiba!! Dadadeki ni hatariDuh..
Team Magu bado ipo kwa system wazee.. Tekini Care..
Hata wewe na mimi japo mie sijachekelea.Safi sana,alichekelea kifo cha mpendwa wetu Magufuli.
Musiba ni mchawi kwelikweli. We jiulize kwa nini hakuna aliyeweza kumgusa hadi sasa zaidi walikimbilia mahakamani. Maana tuliambiwa like kikundi ni mamafia sana, lakini kwa musiba sijui wameshindwajeMajorwitch finder inaonyesha mchawi aliyemtumia huyo jamaa ni mchawi mkali kweli, and this could spark mega witches war! [emoji23][emoji23] amani itakuwa ndogo sana kwa atakaye jihusisha na issue za huyo jamaa that mean ameogopesha watu [emoji16][emoji16]
Kwamba hatalipa? Hiyo haitakaa itokee kwenye madai yake alijumuisha familia Sasa kama unavyojua Kuna Sheria ya mirathi "kukusanya na kulipa madeni yote ya marehemu"
Deni lipi? Mnahubiri Demokrasia halafu nyie hao hao hamtaki ifanye kazi upande wenu. Msiba hadaiwi na mtu ni uhuni walitaka kumfanyia.Mm natamani musiba ALIPE deni Ili iwe fundisho huko mbeleni Kwa faida ya vizazi vijavyo.....
Hivi na sisi tukimuuliza Nape kama na kwa kifo hiki, mungu ameamua ugomvi tutakua tunakosea?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli, afanye kutupasia huyo mganga.Mganga wa Musiba sio Tapeli[emoji1544][emoji1544]
Pumzika kwa amani Mzee wetu
Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.Sikuwahi kujuwa kama una akili ndogo kiasi hiki, unaelewa maana ya mirathi ni nini?
As I said it's a war!Musiba nae Hamalizi mwaka
Umejuaje kahusika?Kwa hiyo musiba anadhani hii ndio njia ya ku set aside exparte judgment?