Kweli kabisa,

Afadhali angekuwepo mwenyewe labda angesamehe lakini warithi hawawezi kusamehe na kwa kuzingatia kifo chenyewe cha utata wa gafla watakuwa na hasira mno!

Sasa sijui atawanyamazisha wangapi ?
Sorry, mkuu. Hivi wewe ni mojawapo kama family member? Because unaandika mambo ya nafsini mwao.
 
Usikute ni maandalizi ya 2025?
Membe amezaliwa mwaka 1953 na amefariki mwaka 2023, ni miaka 70 net.

Huyo tayari amekula chumvi na anaweza kufa kwa pressure tu katika umri huo, na ni bora ufe kuliko pressure ikuletee major stroke ni mateso matupu kwako na familia yako, unaanza kuhudumiwa kama mtoto Mchanga kubadilishwa pampas na kulishwa.

Kwa tuliopoteza wapendwa wetu kwa maumivu makali, Membe amekufa kifo chema bila mateso wala familia kuteseka.

Ni unafki tu unatusumbuwa lakini wengi tunatamani mwisho mwema kama wa Membe, ni wachache wanaopata bahati hiyo.

Mabere Marando yupo hai lakini ni sawa na mfuko tu, sasa yote ya nini hayo?
 
Haya haya haya tafakuri Kali mmeachiwa. Wema hawafi ila wabaya wanakufa who is who?
 
Kufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!

Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Kaka Allen Kilewella! Umeniumiza moyo kwa tahadhari uliyotoa! Lakini huwenda na wewe umesahau kwamba, wewe ni miongoni mwa walio/wameendelea kukashifu sana kuhusu Magufuli kwa kufa kwake

Nimefurahi kusikia kwa kinywa chako leo kwamba, haifai tuishi kwa namna hiyo, anza kujisikia vibaya kukashifu wasioongea tangu saa hii

Mungu aturehemu
 
Is just a coincidence or it related to the case mentioned above☝️☝️☝️☝️?

Kuugua ghafla asubuhi ya leo na kufa hapohapo?

Jamani ni maswali tu. I am just curious.

Wasiojua kufunga midomo na kutunza siri zao walitanguliaga kupima upepo mapema👇👇👇👇

 
Duuuuuuh. Kwa mala ya kwanza Leo nimekupongeza. Lakini Hadi Leo wapi watu wanashangilia hata kama adui yako kafa Huwa tunaacha yote yaliyopitaaa, sio kutoa FURAHA na kumhusisha mungu eti ni fundii. Tujifunze kuwa wapole, mbele ya haki Kila mtu ataenda Kwa wakati wake.
 
Wazuri hawafi....Makamba sr. Naye tunamsubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…