mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Wewe Coca wewe... halafu mbona km Mama Mkulungwa01?[emoji23] kuna uzi mkulungwa alikua anakusifia mno[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli, afanye kutupasia huyo mganga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeKama wamemtanguliza watamfuata
Utakufa wewe utaniacha. ShukraniHuna lolote wewe, hata ungekufa ni sawa tu.
Kwa mara ya kwanza nakupa Like yangu.Tumefika hapa kwasababu wapo wajuaji waliogoma kusahau yaliyopita, wayaache yaende, wakajiona wamekaa juu wamefika, wao kila siku ikawa ni kumuimba marehemu mtangulizi, wakajisahau wakidhani kifo kina undugu au urafiki, leo kifo kimewakumbusha hakina mwenyewe.
Sio wakati wa kulaumiana tena, maisha ni fumbo, tujifunze kuyaacha yaliyopita yapite, lakini sio kujisahau na kujipachika majina ya ajabu kama wazuri hawafi au Mungu fundi, leo majina hayo hayo yanarudishwa upande wa pili, ni vyema wahusika wayapokee kama walivyoanza kuwapa wenzao, time to feel a test of your own medicine.
Nani kaonewa ?Shenzi ni nani hapo? Anayebambika madeni yasiyo halisi watu au alieonewa?
Watu waliumia mno wakati msiba wa mpendwa wao JPM upo Chato, sasa wao wanalia, na je, WanaJPM wacheke kama walivyofanya wao?Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.
Hela ya kukesha atatoa wapi?! Labda akope k-vant hadi asubuhi.Musiba atakesha baa leo.
R.I.P membe
Mzimu wa Membe lazima umfuate popote atakapojificha aliemtanguliza na yeyote alieshiriki,Kama wamemtanguliza watamfuata
Ngoja tuishie apo maana hakukua na maana yoyote ya kuja Kuni attack kwenye comment yanguTatizo lipi?
Inawezekana wewe ndio ukawa na tatizo.
Akakeshe wakati hajalipa billion 9Musiba atakesha baa leo.
R.I.P membe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mganga wa Musiba ni mkali, hadi ma Dr bingwa wa Kairuki wameshindwa mweeeeh.Wewe Coca wewe... halafu mbona km Mama Mkulungwa01?[emoji23] kuna uzi mkulungwa alikua anakusifia mno[emoji23][emoji23][emoji23]
Magonjwa yetu haya haya ya kisasa mkuu?Ila kusema ukweli, membe alikuwa anaumwa kitambo sema mambo ya pesa tu. Nakumbuka 2018 au 2019 nilikutana nae nmb pale lindi akiwa na gari yake flani ya kibabe hivii; alionekana dhaifu sana.
Nilikutana nae tena Dar, 2022 mwanzoni, alikuwa amedhoofu zaidi......kuna kitu kilikuwa kinamsumbua yule, trust me!!
Msiba ni speaker tuu...!! Wait and seeSo what,kwanza aliyoyasema Musiba ni ya kweli kabisa,wakiendeleza nao wataondoka kabla ya siku zao.