Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu unataka kufungua nyuzi ngapi kuhusu kifo cha Membe ?Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!
Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?
Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!
Mungu fundi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app