TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!

Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.

Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?

Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!

Mungu fundi.
Mkuu unataka kufungua nyuzi ngapi kuhusu kifo cha Membe ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ila Membe si kafa, ama?!
Amestaafu so Hana impact same na Lowassa au Salim Leo wakifariki Kuna impact yoyote? Ila wa JPM ulikua unique sababu kafia madarakani lakini pia alikua very powerful kama Putin hivi.

So msitafute consolation kwa misiba mingine, nothing beats kifo cha Rais madarakani
 
Membe kafa kishujaa na kifo cha kawaida kama atakakufa binadam yeyote yule.
Tatizo ni pale unapoua kutesa, kuteka binadam wenzako wakati na wewe njia moja hiyo hiyo. Ndo maana tulifurahi
Kafa kishujaa? Kufa kishujaa ndio nini wakati mnalialia humu hahaha! Lishakufa hilo dude huko kairuki, mjipange mkalifukie huku mkisubiri zamu ya anayefatia
 
Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!

Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.

Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?

Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!

Mungu fundi.
Mcheki figo76 kwa huu uzi wake wa silaha ambazo unaweza tumia
 
Back
Top Bottom