TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Taifa linahitaji uponyaji! Seriously! Mama Samia ana mzigo mzito sana kuweka sawa mambo ili visasi vikome. Ukisoma comments mitandaoni unapata picha halisi nini kinaendelea kwenye jamii.
Wakati tunawaambia hawa ant JPM kuwa wawe na mipaka hasa mtu anapokuwa ametwaliwa na Muumba wake walikuwa wamejawa na kiburi kikubwa utadhani wao walikuwa Immortal.Nakubaliana na wewe dalili si njema na sote tujifunze kupitia huu msiba
 
Back
Top Bottom