Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Mimi kama jiniasi wa mambo ...nasema na kushauri kuwa Musiba asiwe na wasiwasi kuna hekima kubwa sana kama wahuni wa msoga wakidhurumu mali yake kutakuwa na faida kubwa sana kwa tz na kwa Musiba mwenyewe yeye musiba anatakiwa kujidai mnyonge tu . Ili wahuni wa msoga wafanikiwe kumpora hizo mali maana wakifanikiwa hofu kuu itakuwa juu yao wenyewe. Kwa kutumia akili tu mafisadi nchi hii awajawai kufanyiwa kitu chochote cha kufilisiwa mali japo ni mafisadi wakubwa ... sasa inakuwaje Musiba wamfilisi mali zake eti kisa maneno tu aliyo sema

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Wewe upo nyuma ya wakati na uwe unafanya research kabla ya kuongea. Membe kafungua kesi hii Mwaka 2018, tena watu walimkejeli Sana na kumcheka wakisema mahakama imeshikiliwa na Magufuli. Wewe leo unakuja na uongo wa kutunga hapa. Acha hizo.
Umedandia treni kwa mbele Sababu hujui kinachoendelea. Unaandika andika tu vitu kuhusu hii Story. Hatukurupuki kuandika kama akili yako inavyokuongoza. Bakiza maneno ya kuongea sababu wanaojua kinachoendelea wanakucheka.
 
Watawafanyia figisu brokers wote?
 
Anabadirika mpiga mnada. Wapiga minada wapo wengi tu mkuu. Labda membe aamue yeye kupooza doso
Hii kesi ni kitanzi kwa team msoga ....mimi nakuambieni kweli kama mnayo akili mtajua nini ninasema kitu ambacho msiba anatakiwa kufanya ni kuwaacha tu wafanikishe nia yao ovu wote walio walio panga hii nia kwa kutumia wahuni wao waliopo mahakamani wakijidai ni mahakimu ...baada ya kupora mali ya musiba basi faida kubwa itapatikana upande wa wazalendo na musiba mwenyewe ..... maana hiki kitendo kitawa cost sana ....ila nina hakika wahuni wa msoga wanajua vyema ili jambo uenda wao wenyewe ndiyo wanakwamisha hii hukumu ili kumjambisha musiba tu ...ila kiukweli nilitamani sana wahuni wa msoga wafanikiwe kumpora musiba mali zake chakusikitisha ni kwamba wahuni awata fanya hivyo

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Nilisema Nini? Haya tulieni muone picha hii Kali ya intelligence ya Tz. Kiufupi kifo cha Magufuli sio ushindi ila nikilio kikubwa kwa waliodhani kwa kufa kwake watafanya vile wanataka kufanya Yani kunawatu watalilia chooni na familia zao. Kuna watu 2025 watakimbia hata nchi ilawatakuta passport ziko freeze. Nani alikwambia kifo cha Rais nichakufanyia sherehe? Kiufupi Tetesi zina sema hata namba moja Kuna mambo Alisha ambiwa awaachie wana usalama na kama anataka kuona cheusi na cheupe basi aingilie wana idara kama hajaona usiku kuwa mchana na mchana kuww usiku. Thanks God namba moja ameamua kupambana na vitu vyake na usalama anakaa pembeni na kushauriwa. Picha nikali sijapata kuona ila kiufupi mwisho wa yote one two microphone check msishange mtu Chali ndio mtajuwa musiba ni msiba. End
 
Ushauri wangu ni bora aende kumuona Mh Rais Dk Samia Sulluhu Hassan maana ana kila kitu cha kuweza kumsaidia kuliko kwenda kwa hao viongozi wa kiimani ikishindikana hapo basi.
 
Nilisema haya mambo yako deep! Unakuta kuna pande zilikuwa zinashughulikiana na kwa nyakati hizo yumkini sababu zilikuwepo na waliokuwa nyuma ya Musiba wapo.

Membe pia anajua kila kitu ndio maana pamoja na connection zake za ndani lakini bado akatumia mahakama! Msifikiri Jasusi kama Membe anaweza kuwa vitani na Musiba! Membe anashughulikiana na wanaofahamiana vyema.

Huko ndani CCM wanajua picha yote sisi huku nje tunashabikia tu. Acha tuwe wapenzi watazamaji tutaona hii sinema itavyoisha.
 
Ushauri wangu ni bora aende kumuona Mh Rais Dk Samia Sulluhu Hassan maana ana kila kitu cha kuweza kumsaidia kuliko kwenda kwa hao viongozi wa kiimani ikishindikana hapo basi.
Wewe akili zako ni 0 kabisa wewe unashindwa kijiuliza kwa nini mahakama za tanzania zimeshindwa kutoa hukumu kama hiyo kwa mafisadi wa hii nchi ila imeweza kutoa kwa Musiba kisa maneno tu ....huyo sa100 ni team ya wahuni na mahakama imepokea maagizo kutoka kwa hiyo team

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Ya kwamba huyo kigogo yuko juu ya mahakama?
Ya kwamba huyo kigogo yuko juu ya sheria na hata mhimili uliojichimbia chini sana?
 
Kwa hiyo alienda mahakamani akidha dhani tu?

Kwa nini usijipe nafasi kutafuta na kujua chanzo na mwenendo wa kesi yao? Maana Membe alieleza lilivyoanza, akaenda kwenye chama chao hadi mahakamani. Tafuta utapata.

Palipo na facts na evidences tunaongozwa tuvitumie hivyo badala ya maoni na hisia zetu.
 
Yono kitambo tu leseni yake ilisimamishwa ana madeni mengi.

Hivyo njoo na propaganda nyingine wewe wakala wa mafisadi.
 
Huyo ana jifariji tu,kwani YONO ni dalali wa mahakama,hata kama ataondolewa wapo wengine kama 20 hivi,Hivyo kazi atapewa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…