Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Nina imani Membe sio mtu anayeweza ludhalilishwa hivyo na Musiba na akamuacha kimya kimya.

Tutamshangaa sana.
 
Japo sitetei aliyokuwa anayafanya Musiba ila b9 wametumia hesabu zipi yaani maneno tu mtu adai b9 😄
Ni hivi:
1. Umeomba mkopo wa bilioni 2 kuendeleza hoteli zako. Benki imekubali kukukopesha kwa masharti nafuu. Siku chache mtu anawapelekea clip ya Musiba akikutuhumu kwa kila aina ya uovu hadharani. Si mara moja bali mara kadhaa. Kitakachofuata ni mkopo kuyayuka au kuwekewa masharti ambayo hayalipi.
2. Umeomba kazi katika shirika la kimataifa ambayo utalipwa dola 240000 ( Sh. 480 milioni) kwa mwaka. Ghafla Musiba huyo na ofa inaondolewa.
3. Ulikuwa unakaribishwa katika makongamano ya kimataifa kuzungumzia utawala bora n.k. Mara Musiba huyo. Mialiko inayeyuka.
4. Unadaiwa na benki mabilioni. Ulikuwa mlipaji mzuri lakini hali ya biashara imekuwa ngumu. Umeongea na benki na wamekuelewa na wamesema watakuongezea muda wa kulipa. Ghafla Musiba huyo akikuita tapeli uliyekubuhu hadharani. Benki wanabadilika na kukuambia hamna cha nyongeza ya muda wala nini. Lipa deni au watakamata mali zako.
Kuharibiwa jina kuna madhara makubwa sana. Ni lazima Membe alitoa ushahidi wa hasara alizopata kutokana na maneno ya Musiba ndio maana Mahakama ikaamua hivyo.

Amandla...
 
Yono si huyu huyu sijui Kevela au ni mwingine?. Kama ni yeye basi na yeye sio mwepesi kihivo, kama ni kweli ngoja tuone hizo sarakasi zinakuwaje!.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 

What matters ni hukumu ya Mahakama na sio utekelezaji.
 
Mbona sijaona popote ambapo Membe kaingia kwenye anga ?
 
unajifurahisha tu mali zote zimeuzwa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
 
Uko wapi mnada wa Mali za Ta Musiba?

Yu wapi Jasusi Membe?

Ni mbwembwe tu hakuna kitu chochote kinaendelea hapo,ni wajinga mlidanganywa kifara fara Musiba nipo nae anakula konyagi hapa.
Majasusi ni weu kabisa wanapotosha umma.
Elewa mnada hafanyi membe, ni mahakama ndio inafanya. Na ni baada ya siku kumi na nne za kazi ukiondoa weekend na sikukuu.
 
Elewa mnada hafanyi membe, ni mahakama ndio inafanya. Na ni baada ya siku kumi na nne za kazi ukiondoa weekend na sikukuu.

Yaan naona kama muvi! Huyu msiba huyu huyu kabisa ambaye siku moja nilimuona acheza na kufurahia maisha? Huyu ambaye tulimjua kupitia chanel ten? Ndiye sasa anafilisiwa?anazo za kufilisika?
 
Hivi huyu Msiba aliyefikia mpaka kulipiwa mahari na JK ana mali inayofika hata $5000
 
Pole sana huna ulijualo kuhusu siasa za Tanzania . Endelea kupambania Ugali mwaya.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…