Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Kumbe ni kumpguzia kura siyo kushinda?
 
CDM benefitted and maximazing parliamentary seats due to what was called "ulipo tupo" kwa kufuatana na nguli km kina mzee Chizii na arbab sheikh Khamis Mgeja,itakuwa Hawa maustadh wachache wa kijijini Londo😂😂😂😂
 
Wale wazee walioambatana na mh.Membe ukiwaangalia na zile kadi zao "MPYA" unaona kabisa mchezo wa "kadenge"....
 
Mbowe anaamini Membe pekee ndio atanusuru chama kisimfie mikononi, lazima amfix mtu ili mipango yake iende sawa. Tishio kubwa ni Lissu, ila Lissu hana mizizi kama Dr Slaa hivyo kumfix ni rahisi zaidi.

Kama alifanikiwa kumleta Lowassa na watu wakamuunga mkono, sio kila siku ni Ijumaa. Safari hii anaona wazi wazi kuwa watu wengi hawako upande wake.
 
Halafu mh.Magufuli amekishika kweli chama kuliko wakati mwingine WOWOTE...si Mkapa Wala kikwete...wote waliyumbishwa na makundi ya Hawa kina Membe...
 
Tanzania Perspective katika ubora wake. Haya magazeti ya hovyo kweli kweli
 
We all know better that Prof Safari was voted in as a replacement for Zitto kabwe, to offset claims of "mfumo kristo" and so was Said Arfi.

However now that the party has been able to cement its position as a stable party with grassroots nationwide, Vice Chairman post is no longer a PR stunt its now meant for succession planning.

After a couple of Years eventually Lissu will rise to the highest office in the party. Given the candidates will be in for the primaries, the members will vote for the best candidate and by then you will be suprised with the overwhelming majority support Lissu will get.

Hierarchy despising a member does not imply mere party cadres won't vote you in. Otherwise Magufuli wouldn't be a CCM flag bearer in the last election.
 
Nikiwa hapa ufukweni Sadaan Tanga na shemeji yenu mikononi tuna vile vinywaji adhim "faru John" hatimiliki ya mheshimiwa mwenyekiti....tunatumia nafasi hii kumpongeza mh.Mwenyekiti wa chama magufuli kwa kuwanyoosha vyema kina Kaka yetu Makamba na komredi Nape...WANGEMSUMBUA SANAAA😂😂😂
 
Akiamua DJ nyie hamna la kufanya

Uko sahihi kabisa, Mbowe akiamua kutokana na nafasi yake ndani ya chama hakuna wa kubisha, ila support iko kwetu, safari hii ndio atajua wenye nguvu ni sisi wafuasi na sio yeye. Chaguo letu ni Lisu na sio muhuni yoyote. Huko ccm Magufuli akiamua ndio hakuna wa kupinga, sio cdm ambayo nguvu yake ni watu.
 
Ni kweli kabisa

Hiyo nafasi anastahili mpinzani mmoja tuu, naye si mwingine ni Shujaa Tundu Lissu, ili apambane na huyu Jiwe ambaye, utawala wake tumeshuhudia akitumia vyombo vya dola vibaya kwa kuuminya upinzani ili usifurukute

Ikiwa CDM watatuletea huyu kapi la ccm kama ilivyokuwa 2015 kumleta Eddo...basi yajayo yatakuwa na majuto sana
 
Simung'unyi maneno nasemaje ukimuacha baba wa taifa hajapatapo kuwepo mwenyekiti wa CCM mshika hatamu hasa...aliyetuliza caucaus na makundi fitini ya oligarchs km huyu wa Sasa....bila Magufuli CCM ilikuwa hohe hahe....
 
Mkuu usitoe povu lako bure huyu aliyeleta hii habari ni lumumba buku 7,chadema haiwezi kuruduia kosa tenaa Membe akatafute pa kufia kisiasa tu.
 
Mbowe Mjanjajanja TU km Zitto Kabwe...CDM wanakosea Sana kumwamini mtu wa madili km huyu...
 
Membe couldn't even mount a challenge on January makamba, let alone a gaping margin between him and JPM. What convinces you he can be a force to reckon with this elections relative to Tundu Lissu's political might?

I believe with Lissu, the election campaigns will be explosive as the 2010 era. Membe is too dented and not a threat anymore and lacks a political base.

Membe is not popular in CCM neither opposition, I don't see where he can get his votes from. Let's be realistic here,to CCM; Lissu is more damaging than Membe.
 

Why don't you call him, and ask him to join UDP, since UDP is an opposition party as well? Then he can implement what you are trying to address in here. Or your science works only in certain political parties?
 
Na wewe pumbavu hebu andika Kiswahili huko Kiingereza kimekukataa kama kilivyowafanya Magu ma Mdalichako! Ulishaona wapi plural inaendana na does not?
 
Support mnaitoa wapi wakati hamna nguvu kwenye kamati kuu Wala ya uteuzi mkileta za kuleta Mbowe akiinua simu tu kuwa Kuna wahuni wanaleta fujo mikutano ya chama defender zinashuka na mabomu na virungu mkiondoka hamna ngeu mkatambike
Sababu yeye ndie anatambuliwa na msajili Kama mwenyekiti taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…