Uchaguzi 2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

ACT mnatumika kutimiza ndoto za watu.

Baada ya hapo anawadump.
 
Habari mbaya kwa Tundu Lisu plan B yakev akibwagwa na Chadema imeshazibwa na Membe hatalala Leo Lisu

Pole Lisu hizo ndio siasa.Tulikwambia humu jamii Forums don't overate yourself
 
Membe anakaribishwa kumuunga mkono Lissu CDM.
 
Nakaona kampasuko fulani hivi kanaenda kutokea dhidi ya timu Lissu na Timu Membe.

Bora wote tukose - Faida kwa JPM
Ingieni wote - Faida kwa JPM
 



hıi ndo turufu ya chama A
huu mchezo upo hvi baada ya kututumika hoja ikaja akasimame wap? jamaa akafyekwa mapema halafu akatupwa.....

wenye vyama B na c Wakalonga nae mara paaaa kuleee... mwisho A amewaka kwenye tego....

wakiungana faida kwa C maana B atakufa rasm wasipoungana faida kwa A maana hatakuwa na mpinzani

watu wamekaa pemben na ghahawa huku wanasukuma draft taratbuuuuu... kunamambo ukiyafaham mkuu kunawakati unachagua kunyamaza...
 
Kuna mapinzani mapumbavu sana dunia hii! Ina maana upinzani hauna mgombea mpaka atoke CCM? Zitto pumbavu na chama chako!
 
Kuna mtu atapigwa 'Super'hapa mkuu.

Thnxs for observation.
 
Membe kaenda ACT ili agombee u-Rais na siyo kwamba kaombwa kugombea bali hizo ni propaganda tu walitengeneza. Ila huyu baba ana uchu na u-Rais halafu mwisho wa siku Magufuli atapata asilimia 95 ya kura zote halali.
 

Binafsi naona Membe amepoteza.Kipindi alichoingia kwenye siasa za upinzani ni kigumu kwake kwa kuwa ili aweze kuwa na ushawishi mkubwa katika uchaguzi huu ni lazima Chadema ikubali kumuunga mkono katika nafasi hiyo anayotaka kugombea, jambo ambalo Chadema hawatakubali KAMWE hasa ukizingatia Chadema kwa sasa ina mgombea mwenye nguvu na ushawishi mkubwa kumzidi yeye.
 
Na mimi mtizamo wangu ni huo huo mkuu,na ukijumlisha na kitendo alichokifanya Lowassa cha kurudi CCM hapo ndipo namna ya watu kumuani Membe inakua changamoto zaidi.
 
Ngoja kwanza, something or some details are missing somewhere kwenye nii CV ya Membe! Hili hatalisema yeye, Membe wala viongozi wa ACT - Wananchi (siyo Wazalendo, it is too big a name, what fits them is Wananchi and not Wazalendo) ni suala la ufisadi, wizi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za Watanzania zilizorudi kama chenji ya RADAR (Si mnakumbuka ule ufisadi katika ununuzi wa ile RADAR kutoka Uingereza), ambazo ilikubaliwa zielekezwe kwenye sekta ya elimu na yeye, Membe, kwa kusaidiwa na viongozi mafisadiwenzake, akalichukua hilo jukumu. Na mwisho wa hizo pesa, kila mtu anaulizia ZILIPOKWENDA. Anao wajibu kulielezea hili kwa Watanzania wote. Hili halina ushabiki wa upenzi wa vyama vya siasa ni suala la maslahi yetu Watanzania. Suala jingine ni hili la pesa za uwekezaji zilizo tolewa na Serikali na Wawekezaji kutoka Libya. Peas zilifika na kabla mambo hayajawa sawasawa ukatokea mzozo huko Libya. Kwa uzoefu wake, Bernad Membe alijua hilo limetoka na hakuna atakaye kumbuka hizo peas kutoka Libya.Akaamua KUZIPIGA JUU KWA JUU. Hivyo hili pia anao wajibu wa kutueleza Watanzania, kwani inaweza kutokea neema huko Libya siku moja mambo yakawa shwari, watakuja kudai pesa zao kwani haki ya mtu haipotei. TUSUBIRI MAJIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…