Uchaguzi 2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

Tulisema Tz hakuna Upinzani kuna Ubinafsi ndio kama hivi
Endeleeni kugawana kura
 

Ni Wachina na Sultan wa Oman walikuwa wachukue nchi kwa miaka 99, ukanda wote wa pwani ya Tanzania Bara kutoka Moa mpaka Mikindani Mtwara!!! Aibu tupu! Sasa huyo anataka kurudisha nchi kwa Sultan wa Oman chini ya ulinzi wa China!! Upinzani kuchukua nchi ni sawa na kuona mbalamwezi mchana.
 
#Kazi na bata, tushachoka mikazi tu!
 
Nimecheka kwa sauti ,lol sasa mbona "ningegombea mwenyewe "
 
Mzee kajipiga kisu mwenyewe, hii hoja ccm watawekezamo vibayaaaaaa kumshambulia kama agent wa mabeberu
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje awamu ya 4, Bernard Kamilius Membe, leo Julai 17, 2020 amechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambapo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu.
 

Kama nilivyosema jana, anataka urais kisa cha kujiunga na ACT, pia nilisema anatamani vyama vyote viungane na kumchagua yeye kuwa mgombea urais, watu kama hawa unawaona ndani nje jinsi walivyo wehu na walafi wa madaraka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alishindwa kupata nafasi CCM alipojaribu kubadilisha muongozo wake wa uteuzi wa wagombea, akaona wajinga wengine watamkubali. Atauza nchi kwa wachina na kujinufaisha yeye na wachache wenzake kama akipata urais.
 
Mhe. Membe chonde chonde usigawanye kura za upinzani wewe unga mkono wapinzani ila usigombee maana ukigombea utagawa kura za upinzani na Magufuli atashinda SAA 4 asubuhi, kuepuka hilo usigombee kabisa
 
Kumekucha
Acha Tuone
Tumchague John Pombe Joseph Magufuli
 
Hawezi kuacha,maana ndio mission aliyokuja kuikamilisha hio.
 
Membe kama Membe peke yake hawezi kitu kwa vile hana wafuasi wowote ukiachilia wale wa kule village kwake.... akisimama peke yake hata yule mzee Rungwe anaweza kumzidi kwa kura.
sema kinakachompa jeuri ni support ya Maalim Seif ambaye ndiye amekwenda na wafuasi wake wengi sama pale ACT.
ACT ni Maalim Seif and Maalim Seif ni ACT. tunaita box office!

ninachokiona kwa upande wa Maalim Seif ni kama kuwapiga pressure Chadema kuharakisha mchakato wa maamuzi yao kwa ajili ya coalition - kwamba "mkiendelea kuchelewa chelewa, walahi tena tutamsimamisha Membe!".
leo hii ikitokea say mtu kama Tundu Lissu arejee nchini na asimame kugombea kupitia Chadema, am sure Maalim atampiga chini Membe fasta.
 
Na mimi mtizamo wangu ni huo huo mkuu,na ukijumlisha na kitendo alichokifanya Lowassa cha kurudi CCM hapo ndipo namna ya watu kumuani Membe inakua changamoto zaidi.
Halafu juu ya ukweli huo mliosema tobias na mng'ato, ni dhahiri kuwa Membe kwa sasa hana pesa ya kuweza "kuwashawishi" na "kuwalainisha viongozi wa CHADEMA au hata wa CUF au hata wa NCCR- Mageuzi eti waungane. Na kama mlimwangalia Membe jana pale ACT -Wananchi, ni wazi alicho kuwa akiwaambia wote ni kwamba - "unganeni na nichagueni mimi Membe nigombee URAIS". Hicho ndicho anachotaka Membe - no more no less! Akili zake zimegota kwenye URAIS ambao hawezi kuupata 2020 au hata 2025. Wekeni kumbukumbu na tutahojiana tena come 2025.
 
Nashauri chadema ikubali kukubaliana na membe ni nini hasa kimenishawishi,membe anajua mengi na mabaya zaidi ambayo serikali imefanya .

Lakini sasa chadema wakidhubutu kufanya hivyo inatakiwa wajipe up too 2035 ili kuwa na kujiimarisha upinzani sahihi .

Otherwise membe anaweza kuwa mtu bora wa kuhakikisha anapambana na ccm.

Binafsi sina chama.
 
Jana wakati anakaribishwa!Aliahidi kujali mishahara ya vyombo vya ulinzi!Nimejiuliza kwa kina kwani kwa sasa hv hali ikoje huko jeshini????Mbona kama hatupo salama???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…