Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

thetallest, we jamaa bana kweli upambe unauweza, et ccm hii hakuna mdogo wala mkubwa, wakati hata mtoto ukimuuliza atakwambia CCM hii ya kipolisi mkubwa ni jiwe na bashite, wakikohowa hao hapakali
 
ANC ndo chama pekee ninacho kifahamu chenye nguvu na uwezo wa kuamuwa bila kumwangalia yeyote usoni, nyie CCM subirini kufuata uamuzi wa mwenyekiti wenu.
 
Chakaza,
Mbona hili limejadiliwa sana hapa JF! Kibaya ni kwamba unaleta mambo ya kuambiwa na huyo mtu amabye ubora wake unaujua wewe.

Twambie maoni yako ili tujadili. Unataka tujadili maoni ya mtu tusiyemjua na hawezi kutujibu?

Kumbuka; hata himaya ya wapumbavu huwa ina kiongozi wanayempenda.
 
Membe chukua tahadhari zote!!hata sokoine na kolimba walijiamini!!!mwambie na kigogo atupe updates za matukio ya safari yako wasije kukumaliza!!!CCM sio mchezo!!!
Jamaa ni OVERRATED tu ila sio threat
 
Mara baada ya kuhojiwa ataongea na waandishi wa habari. Niko dodoma hapa nitaleta habari kamili
 
..Ataka vyombo vya habari viruhusiwe kuwepo wakati akihojiwa.
Screenshot_2020-02-06-11-18-45-905_com.twitter.android.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom