Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yenu CCM kaiweka mfukoni
Mwoga sana
unasema Hamna mkubwa wala maarufu kuliko CCM una uhakika??? JPM je???
MAGUFURI YUKO JUU YA SHERIATaratibu lazima ziheshimiwe, hakuna aliye juu ya sheria.
Mkuu sasa unaharibu kila kitu kutoa taarifa kuna mengi ya ziada, mtuhumiwa anaweza kujipanga au kukimbia asiende kabisa.
Mimi naamini hakuna jipya hatofukuzwa chamani kwenu.
Katiba imemruhusu.MAGUFURI YUKO JUU YA SHERIA
Ndio hofu yao kubwa... So plan ni kumfungia kushiriki siasa kwa miezi kadhaa 6 au 8 ili mchakato uwe clear kwa mtu moja!..