Ni upum
Ni upumbavu tu wa mtu mzima, barua kaandikiwa yeye, alafu yeye aanze kutangaza kwa umma kwani anaogopa nini kama anajiamini, mambo yake nayo yametuchosha, amalizane nao kisha kama anona kuna musada anataka kwa jamii ndo aandike, mbona anapotaka kufanya mambo yake ya kila siku haweki mtandaoni? CCM aliingia mwenyewe na kuicha au kuivulimia ni wazo lake mwenyewe. Angetaka tujue angesema nimeitwa lakini sitaenda wachukue uamuzi wowote, ingekuwa na maana, atuache tupumue, bado tuna misiba mingi Arusha na JKT, tuna mawazo ya wapendwa wetu.