Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Kwanini Makonda yuko Dodoma wakati si mbunge wala si mjumbe wa hiyo kamati ndogo ? Membe si mtu wa mchezo kama mnavyodhani
ccm ni rafiki wa fitina na vichekesho

Chadema ni mabingwa wa mapinduzi hewa ndani ya chama chao

Utoafauti wa ccm na chadema ni kuwa mmoja ana selikari

Mmoja hana

Ila kitabia na kimatendo ni wale wale
 
Acha upuuzi wwee tuna uzoefu kuwa nyie ni wauaji na majambazi mabaya hasa. Historia inawahukumu kuwa kina kolimba mliwaua kwenye vikao kama hivi. Lazima atuambie tukae tayari kwa mliyopanga nyie mashetani wakubwa

Tumia akiri, leo hata ujumbe wa mume wenu lisu hujasoma, nikupe kwa ufupi, amesema mambo ya ndani ya chama wawe wanayamaliza kwenye vikao sio kwenye media kwa ustawi wa chama, kwa hiyo hilo nalo hutaki? Acha kutumia makario.
 
Hivi ni lazima ajishikize na CCM maisha yake yote?

Kwanini asiachane na siasa tu kuliko kung'ang'ana na hilo lichama la majizi?

Au bado ana mgao huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo siyo A/c yake halisi ya twitter.
 
Kwa jinsi unavyojiamini,ni wazi una hoja nzito za kujitetea, sema tu hawatasikiliza wala kuzingatia hoja zako bali wataingia kwenye kikao wakiwa tayari na maamuzi yao mifukoni.

Kwa mtazamo wangu,kikao hiki ni cha ushahidi tu ili ionekane umepewa haki ya kusikilizwa.
Atakua mgombea uraisi wa chadema, akimalizana vizuri na Mbowe.
 
Influenza,
Kuna maneno mawili yamebeba ujumbe mzito sana.
1. Hatimaye
2. Stay tuned.

Lile neno Hatimaye linaashiria tamati ya kitu fulani kilichokuwa kinaendelea chini kwa chini.

Stay tuned, ina maana kuna kitu kipya muendelezo wa kikao na kutokana na hayo ya chinichini.

Membe ana lake jambo, Ila sijui na sielewi ikiwa yeye kaandika hiyo meseji, maana ni kama account haijathibitishwa
 
CCM haina kambale kama CHADEMA!
JOHN Kwenye hili nakupinga, na namuunga mkono mshindani wetu wa chama cha upinzani. Alichosema SS, kina ukweli mwingi na tunayaona.

Nimuaomba mungu viongozi wa chama changu (CCM), wawe na busara na wamtendee haki mwanachama wake. Sijaona kosa alilofanya Membe , zaidi ya kuonyesha nia ya kugombea Uraisi, japo kuwa membe sio chaguo langu, lakini ana haki ya kugombea kiti chochote ndani ya chama. Kwanza aliweka nia ya kugombea uraisi tokea alipokuwa Waziri wa awamu ya 4.

Lakini utaratibu wa chama unafahamika!
 
Acha upuuzi wwee tuna uzoefu kuwa nyie ni wauaji na majambazi mabaya hasa. Historia inawahukumu kuwa kina kolimba mliwaua kwenye vikao kama hivi. Lazima atuambie tukae tayari kwa mliyopanga nyie mashetani wakubwa
Hivi nyie vijana wa Chadema, mumesahau Mbowe na wenzake walivyo muuwa Chacha wangwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akiri, leo hata ujumbe wa mume wenu lisu hujasoma, nikupe kwa ufupi, amesema mambo ya ndani ya chama wawe wanayamaliza kwenye vikao sio kwenye media kwa ustawi wa chama, kwa hiyo hilo nalo hutaki? Acha kutumia makario.
Baada kusoma "akiri" "makario" nimegundua wewe ni sungusungu wa shule ya kata za baba yenu. Kilaza mkubwa hukumbuki Kolimba alifia kizota? Au ni wewe mwenye kazi ya kupoison wanaopingana na system.
 
Back
Top Bottom