Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

Huu ni ugomvi wa kugombania urais. Kila rais anadai kazi ya urais ni ngumu na ina lawama lakini hakuna anayetamani kuiacha hebu fikiria Trump anavyopambana na mwenzake huyu wa kwetu hawataki wataniwe kabisa kwenye urais
CCM wanaakili nyingi apo nikumtema alafu topic iweee ni membeee sasa alafu bashite muwaji tuizime daaaaa izi si asaaa kwelii
 
Kama makonda yupo dom siku mbili kabla ya mahojiano ya membe!mjue kuna kitu kina pikwa kama kile cha Lisu!!!mtaniambia muda ukifika!!!
 
Kama makonda yupo dom siku mbili kabla ya mahojiano ya membe!mjue kuna kitu kina pikwa kama kile cha Lisu!!!mtaniambia muda ukifika!!!
Kama Kuna plot ya kumdhuru membe makonda hawezi kutumika kwenye mission squad wataalam wa HUMINT Wanaelewa
 
Kwa jinsi unavyojiamini,ni wazi una hoja nzito za kujitetea, sema tu hawatasikiliza wala kuzingatia hoja zako bali wataingia kwenye kikao wakiwa tayari na maamuzi yao mifukoni.

Kwa mtazamo wangu,kikao hiki ni cha ushahidi tu ili ionekane umepewa haki ya kusikilizwa.


Kila la heri
 
Kamati ndogo ya nidhamu ya CCM inayoongozwa na mzee Mangulla kesho tarehe 06/02/2020 itawahoji viongozi wastaafu mzee Kinana, mzee Makamba na mzee Membe juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu zinazowakabili.

Chanzo: Mtanzania
 
Kamati ndogo ya nidhamu ya CCM inayoongozwa na mzee Mangulla kesho tarehe 06/03/2020 itawahoji viongozi wastaafu mzee Kinana, mzee Makamba na mzee Membe juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu zinazowakabili.

Source: Mtanzania
Namkumbuka Horace Kolimba.

Nawashauri wasikalie viti walivyoandaliwa ikipendeza wakalie viti walivyotoka navyo kwao,Microphone wasitumie kabisa ,watumie Wireless MIC...Kwakuwa Membe ni Jasusi sidhani kama atafanya makosa.
 
Back
Top Bottom