Sisi sio chademaNamkumbuka Horace Kolimba.
Nawashauri wasikalie viti walivyoandaliwa ikipendeza wakalie viti walivyotoka navyo kwao,Microphone wasitumie kabisa ,watumie Wireless MIC...Kwakuwa Membe ni Jasusi sidhani kama atafanya makosa.
Unafikiri kutaangaliwa uzito wa hoja hapo?!, hakuna kitu kama hicho hata utoe hoja nzuri kama malaika wenzako wamekwisha chukua upande.Membe mkajiangalie baada ya kumuhoji yeye ndie ataanza kuwahoji mana kamati nzima hakuna wa kumzidi akili mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kubwa sana aisee.Membe mkajiangalie baada ya kumuhoji yeye ndie ataanza kuwahoji mana kamati nzima hakuna wa kumzidi akili mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ndio walio fanya yafuatayo Kumpoteza Azroy, Ben saanane, Mwangosi, kumpiga risasi Lisu , kumuua Alphonce mawazo Chemu.
Wasi wasi wangu ni kwamba ni nani nguli wa kumuhoji huyo JASUSI.Membe mkajiangalie baada ya kumuhoji yeye ndie ataanza kuwahoji mana kamati nzima hakuna wa kumzidi akili mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho ni tarehe 06/03/2020 kumbe?Kamati ndogo ya nidhamu ya CCM inayoongozwa na mzee Mangulla kesho tarehe 06/03/2020 itawahoji viongozi wastaafu mzee Kinana, mzee Makamba na mzee Membe juu ya tuhuma za utovu wa nidhamu zinazowakabili.
Source: Mtanzania
Wa Tz buana....hiv huyo membe ana ujasusi gan,Wasi wasi wangu ni kwamba ni nani nguli wa kumuhoji huyo JASUSI.
Nimerekebisha bwashee....... Ni katypo error!
Asa Membe ana akili gani? Chadema bwana akili zao. Yaani mtu kufikiria urais muda wote na kusema akiwa rais watu sita watahama nchi ndio ana akili kwa chadema?Membe mkajiangalie baada ya kumuhoji yeye ndie ataanza kuwahoji mana kamati nzima hakuna wa kumzidi akili mule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ChakubangaWewe unadhani mzee Membe atafua dafu mbele ya mjumbe wa Tume ya Katiba mpya komredi Polepole?!
Kiheshima ilibidi waitane kimyakimya wapige stori kishikaji. ila kwasababu uongozi huu ulisha kosa maadili kwahiyo wameamua kumiata kibabe
Sent from my GM1910 using Tapatalk
Kama Chadema ndio waliofanya huo udhalimu.Mbona walipolishauri Bunge Na Serikali kuleta Wachunguzi wa kimataifa Scotland Yard,Serikali Na Bunge walikataa? Argue logically stupidChadema ndio walio fanya yafuatayo Kumpoteza Azroy, Ben saanane, Mwangosi, kumpiga risasi Lisu , kumuua Alphonce mawazo Chemu.
IF GOD IS ALIVE
NYOOSHA MKONO WAKO JUU YA WAUAJI WENYE DOLA INATOSHA SASA KWA YALIYOFANYWA NA WATAWA
Sent using Jamii Forums mobile app