Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?

Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?

Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla, Tindo
 
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.

Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Sidhani kama Chadema wamekuelewa!
 
Sheria haikatazi mtu kujitoa katika hatua yoyote kwakuwa kugombea ni hayari ya mtu. Kukataa kujitoa ni ngumu sababu chama ni kikubwa kuliko mgombea kinaweza kumuondolea udhamini akapoteza sifa ya kuwa mgombea baada ya chama kujiondoa udhamini
 
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.

Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje

Kwanza hilo haliwezekani sababu tayari Zanzibar CHADEMA watampisha Seif sasa haiwezekani kupisha nafasi zote mbili huo utakuwa siyo ushirikiano istoshe chadema bara inakubalika zaidi kuliko ACT kwahiyo tayari inazo kura za wanachama wake za kuanzia kama Arusha Kilimanjaro Mbeya na Iringa
 
Kwani Chadema haina mgombea Zanzibar!
 
Chadema wamzoea kuachiwa nafasi, na kubembelezwa, Membe is a better politician than Lissu.

Ninavyo waelewa, ACT wakikataa kumuachia Lissu, utasikia matusi atakayotukanwa Zitto na ACT yake. Ninacho ogopa ni Zitto kumuuza Membe
 
Membe ni mtu mstaarabu sana, ana hekima sana, na nimuelewa sana

Kwake urais siyo kitu personal bali anaangali mustakbali wa Taifa.

Amesema kama ikibidi kumuunga nkono yeyote aliyebora kuliko Magufuli, yuko tayari kufanya hivyo kwa hiyari yake!

Msikilize hapa anavyosema!

Swali: Lisu ni bora kuliko Membe?

Kwa vigezo gani?

Hilo siyo swali la msingi ila kilicho obvious ni kuwa Tundu Lissu ni bora kuliko Magufuli!

Kwa nini?
Kwa sababu Magufuli haheshimu katiba wala sheria pale zinapokwenda kinyume na matakwa yake binafsi. Sasa mtu wa hivyo hawezi kuwa raisi bora
 
Lisu anaheshimu sheria au ni kwamba anazijua tu sheria?!
 
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.

Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Kama una mibange kichwani nenda kalale
 
Mh. Rais Magufuli baada ya kupitishwa na NEC, akiamua kujiondoa kuwa mgombea, CCM watamfanya nini?
 
Back
Top Bottom