Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hueleweki. Membe anampishaje Lissu wakati wako vyama tofauti? Mbona husemi Spunda Rungwe ampishe Lissu?Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app