Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

Natamani kwanza wangeweka mdaalo Wa wazi Kati yao wawili na mshindi ndiyo apitishwe..
 
Lissu ana mtaji wa 50% ya kura kabla kampeni hazijaanza. Hicho ndiyo kigezo
Ukipima kwa hivyo 98% visiwani Membe anayo achilia huku. Halafu tusipime kura kwa umati walikusanyika kumsikiliza.

Hata watu wa ACT, TLP wanaenda mi huwa naenda na sijawahi kupiga kura tangu 1995 aliposhindwa Mrema
 
Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT wazalendo Bernad Membe atakataa kumwachia Tundu Lisu nafasi ya kugombea urais kwa niaba ya upinzani ACT watamchukulia hatua gani?

Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?

Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla, Tindo
Hawatamfanya kitu but atapata aibu ambayo hataisahau mpaka kufa kwake maana hatafikisha hats kura 50000..
 
Ukipima kwa hivyo 98% visiwani Membe anayo achilia huku. Halafu tusipime kura kwa umati walikusanyika kumsikiliza.
Hata watu wa ACT, TLP wanaenda mi huwa naenda na sijawahi kupiga kura tangu 1995 aliposhindwa Mrema
Mrema na Membe ni maofisa wa usalama wa Taifa, muwe mnatumia akili kuwaamini watu.
 
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.

Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje

Membe = Lowassa!!! Mnatumbukiza shillingi chooni hivo! Mkimuweka Membe basi itakuwa mumemsafishia njia Rais Magufuli, yaani atakuwa ni Yohana Mbatizaji kwa Rais Dr Magufuli kwa kumuwezesha kuzoa 95% ya kura zote zitakazopigwa!!! Ataendelea kuokota embe dodo chini ya mti wa muarubaini[emoji2][emoji2] God is clearing the way and 2025 tutaangalia upepo labda tutafuata ushauri aliyeutoa Mzee Ruksa.
 
Membe anaogopa hata kulitaja jina la “You Know Who “.
Mwacheni Lissu achane mpaka kuchanike.
 
Hilo siyo swali la msingi ila kilicho obvious ni kuwa Tundu Lissu ni bora kuliko Magufuli!

Kwa nini?
Kwa sababu Magufuli haheshimu katiba wala sheria pale zinapokwenda kinyume na matakwa yake binafsi. Sasa mtu wa hivyo hawezi kuwa raisi bora

Acha kutoa (lame excuses), sababu za uongo. Rais karudisha ndege 11 ambazo awamu zilizopita walizinywa, Train kutoka Dsm - Arusha, Dsm- Mpanda, meli ziwa Victoria, Nyasa, Tanganyika, Tanzanite imerudi Tanzania, nidhamu kazini, Madini tu naona faida yake na mengine mengi na usisahau COVID19 kaifukuzia nje ya mipaka ya Tz.!!!
 
Haya yote yamefanywa katika serikali za CCM, na hii self praise ya Magufuli inamaana akiondoka tutarudi kwenye square one. Tunaomba upinzani uingie tuangalia upande wa pili wa maisha.
 
Membe ujue kakaa kisanii sanii sana. Alaf uwezi sajiliwa katikati ya msimu kisha ukataka upewe ukepteni.
 
Back
Top Bottom