Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

Uchaguzi 2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?

Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?

Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama

cc: Pascal Mayalla, Tindo
Kura kwa Lissu
 
Back
Top Bottom