johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sidhani kama Chadema wamekuelewa!Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.
Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.
Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Unafiki ndio siasa yenyewe mtumishi!Nakushauri tu mzungumzie sana Tundu Lissu angalau kidogo anaweza Kututisha wana CCM ila siyo huyo Mnafiki wako mwingine sijui wa ACT yako.
Kwani Chadema haina mgombea Zanzibar!Kwanza hilo haliwezekani sababu tayari Zanzibar CHADEMA watampisha Seif sasa haiwezekani kupisha nafasi zote mbili huo utakuwa siyo ushirikiano istoshe chadema bara inakubalika zaidi kuliko ACT kwahiyo tayari inazo kura za wanachama wake za kuanzia kama Arusha Kilimanjaro Mbeya na Iringa
Swali: Lisu ni bora kuliko Membe?Membe ni mtu mstaarabu sana, ana hekima sana, na nimuelewa sana
Kwake urais siyo kitu personal bali anaangali mustakbali wa Taifa...
Swali: Lisu ni bora kuliko Membe?
Kwa vigezo gani?
Lisu anaheshimu sheria au ni kwamba anazijua tu sheria?!Hilo siyo swali la msingi ila kilicho obvious ni kuwa Tundu Lissu ni bora kuliko Magufuli!
Kwa nini?
Kwa sababu Magufuli haheshimu katiba wala sheria pale zinapokwenda kinyume na matakwa yake binafsi. Sasa mtu wa hivyo hawezi kuwa raisi bora
Kama una mibange kichwani nenda kalaleSisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.
Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Anazijua sheria na anaziishi unlike magufuliLisu anaheshimu sheria au ni kwamba anazijua tu sheria?!
Unayekula unga unaniona mi kituko kwa bange. Sio ajabu, endelea kutoa udenda.Kama una mibange kichwani nenda kalale
Wakumpisha mwenzake ni Lisu. Tuwe wakweli na tuwapime kwa hojaSidhani kama Chadema wamekuelewa!
Huo ndio ukweli bwashee!Wakumpisha mwenzake ni lisu. Tuwe wakweli na tuwapime kwa hoja