Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hueleweki. Membe anampishaje Lissu wakati wako vyama tofauti? Mbona husemi Spunda Rungwe ampishe Lissu?Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
MJAIDLI KWANZA JIWE MWISHO WAKE NI MWAKA HUU KUKAA IKULUNauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Mkuu uko sahihi, ila kimoja ambacho watu hawajamuelewa mtoa mada ni kuwa mada yake sio ya nia nzuri Bali ya uchonganishi tuu.Membe ni mtu mstaarabu sana, ana hekima sana, na nimuelewa sana
Kwake urais siyo kitu personal bali anaangali mustakbali wa Taifa.
Amesema kama ikibidi kumuunga nkono yeyote aliyebora kuliko Magufuli, yuko tayari kufanya hivyo kwa hiyari yake!
Msikilize hapa anavyosema!
View attachment 1539614
Hilo sio kwa sasa,tume itamuacha na atapewa hela za kampeni.Sheria haikatazi mtu kujitoa katika hatua yoyote kwakuwa kugombea ni hayari ya mtu. Kukataa kujitoa ni ngumu sababu chama ni kikubwa kuliko mgombea kinaweza kumuondolea udhamini akapoteza sifa ya kuwa mgombea baada ya chama kujiondoa udhamini
This person is very unique, antoa mfano bora sana kwa harakati za uchaguzi kwa mwaka huu. Yeye anaangalia nchi, haya mambo mengine kwake ni by the wayMembe ni mtu mstaarabu sana, ana hekima sana, na nimuelewa sana
Kwake urais siyo kitu personal bali anaangali mustakbali wa Taifa.
Amesema kama ikibidi kumuunga nkono yeyote aliyebora kuliko Magufuli, yuko tayari kufanya hivyo kwa hiyari yake!
Msikilize hapa anavyosema!
View attachment 1539614
Hueleweki. Membe anampishaje Lissu wakati wako vyama tofauti? Mbona husemi Spunda Rungwe ampishe Lissu?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hajitambui, hujui nguvu ya kura moja. Halafu unaongea kwa mbwembwe eti hujapiga kura toka 1995 na unadhani ni sifa. Wewe ni mburula tuUkipima kwa hivyo 98% visiwani Membe anayo achilia huku. Halafu tusipime kura kwa umati walikusanyika kumsikiliza.
Hata watu wa ACT, TLP wanaenda mi huwa naenda na sijawahi kupiga kura tangu 1995 aliposhindwa Mrema
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.
Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje
Hizo takwimu umezitoa wapi?Kwanza hilo haliwezekani sababu tayari Zanzibar CHADEMA watampisha Seif sasa haiwezekani kupisha nafasi zote mbili huo utakuwa siyo ushirikiano istoshe chadema bara inakubalika zaidi kuliko ACT kwahiyo tayari inazo kura za wanachama wake za kuanzia kama Arusha Kilimanjaro Mbeya na Iringa
Bwashee huyo wa kwenu aliyekataa Membe hata asichukue fomu mmemfanya nini?Sidhani kama Chadema wamekuelewa!
TAFAKURI JADIDI TOKA KWA MTU MAKINI...Nauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
Membe ujue kakaa kisanii sanii sana. Alaf uwezi sajiliwa katikati ya msimu kisha ukataka upewe ukepteni.
Membe ni mtu mstaarabu sana, ana hekima sana, na nimuelewa sana
Kwake urais siyo kitu personal bali anaangali mustakbali wa Taifa.
Amesema kama ikibidi kumuunga nkono yeyote aliyebora kuliko Magufuli, yuko tayari kufanya hivyo kwa hiyari yake!
Msikilize hapa anavyosema!
View attachment 1539614
ππππNauliza tu endapo mgombea urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe atakataa kumwachia Tundu Lissu nafasi ya kugombea Urais kwa niaba ya upinzani ACT Wazalendo watamchukulia hatua gani?
Je, atakuwa amevunja sheria ya ACT wazalendo?
Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu kuachiana nafasi baada ya uteuzi wake?
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama
cc: Pascal Mayalla, Tindo
ππππMaalim Seif aliteleza kwa kujiunga na Act-Wazalendo chama kilichopinga na kukataa kwa nguvu zao zote kujiunga na UKAWA 2015 badala ya kujiunga na CHADEMA!
Sasa ACT imechagua Eddie wa pili kupepea bendera - Maalim kashindwa kujifunza kutokana na makosa ya 2015 yaani Maalim karudia makosa ya 2015 kwa kumchukua ambaye baada ya 28/10/2020 atarudi kundini kama Eddie!
Ni afadhali angalia pendekeza Mhe Shaibu, mfia chama(a die hard cohort of then Cuf now ACT-Wazalendo) kupepea bendera ya chama( truth is bitter but I have mentioned the truth)!
kumuuza kiaje?Chadema wamzoea kuachiwa nafasi, na kubembelezwa, Membe is a better politician than Lissu.
Ninavyo waelewa, ACT wakikataa kumuachia Lissu, utasikia matusi atakayotukanwa Zitto na ACT yake. Ninacho ogopa ni Zitto kumuuza Membe
Sisi wazalendo tunataka Lisu ampishe Membe, Kachero aitoe sisiem , ana busara ya kuongoza.
Alionyesha msimamo kwenye issue ya ziwa nyasa vividily.
Lisu akigoma kumuachia Membe tumfaanyaje