To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Wajinga ni hao walioiweka hiyo barua kabatini!Ili ninyi wajinga mfungwe gol la dakka 89!!
Hio ilikuwa ni mbinu ya ushindi mdogo wangu!! Ila najua wewe tuko pamoja,!!Wajinga ni hao walioiweka hiyo barua kabatini!
Mkuu mbona unanipa wasiwasi sasa na taaluma yako! Tarehe kwenye barua ni kielelezo cha muda ilipoandikwa na kwa ujumla tarehe hutoa rejeo la muda ilipotolewa sasa suala la wewe kuiona Leo haliondoi uhalali wa ujumbe wake.
#huko shule mlienda kusomea ujinga?
Kwani kuna waziri mkuu kivuli bungeni?Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Waziri mkuu lazima awe mbunge anayetokana na jimbo.Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Tusubiri aikane. Bado tuna siku 3 solid. Yuko kimya so far na simu zote atafunga. Hatapatikana. Mipango ilikuwa kimya kimya na analo kundi kubwa mno nyuma yake.
Ndugu yako alisahau kuwa CCM ina wenyewe na akaamua kuwadhalilisha. Juzi Arusha Kinana na Lowassa waliongea ila ukiwaangalia unaona kabisa wamelazimishwa na haitoki moyoni.
Hivi unajua Lowassa, Membe na Kikwete? Wakaongezeka akina Nape, Makamba Snr na Jr, Mzee Mangula? Akina Kimbisa unawafahamu?
Tulia Pascal
To me hizi ni sarakasi tuu za uchaguzi, this letter is fake!.
Haiwezekani barua ya tarehe 24 September itolewe leo mwezi mmoja baadae!.
Huu ni usanii tuu!.
P
Kitengo cha kununua Konyagi na bangi za wabunge na mawaziri wa Chadema.
Naye ameanza kuwa kama Lipumba. Anaandika Barua ya Kujitoa, baada ya Mwezi anarudi kuendelea na kazi ambayo keshakiri kuiacha. Hilo ni Tatizo tayari.Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilil
Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo na Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe ameithibitishia JamiiForums kuwa ni barua ya kweli na kuwa iliandikwa baada ya kuafikiana kama chama juu ya kugombea nafasi ya Urais tangu mwishoni mwezi Septemba mwaka huu.
Hata hivyo, baada ya kumtafuta Ndg. Bernard Membe, amekiri barua aliiandika kweli lakini ilikataliwa.
View attachment 1611219
Tumemtafuta Bernard Membe na amesema atatoa ufafanuzi mwenyewe kupitia akaunti yake ya Twitter.
UPDATE:
View attachment 1611325
Siku 100 ni kushughulika na Katiba. Uhuru, haki, Maendeleo ta Watu. Ongeza Upendo, Amani, Furahan.k. Tulivikosa mno. Yaani nikiangalia yale mabomu wananchi wanakuwa Rais hawana kosa na waliopotea wengi. Basi acha tujaribu tena kwingine maana tunakoelekea siko kabisa. Tanzania ni nchi ya mfano bora DUNIANI sasa utapoteza hiyo sifa iliyojengwa miaka mingi. Tunaruhusu vitisho, Mateso, vifo vya raia, kupigwa risasi, mabomu n.k.PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba!
Achaa Uzwazwa wewe Sikh mia za nini hahahahaa tunaingia na Magufuli na kazi inanendeleaSiku 100 ni kushughulika na Katiba. Uhuru, haki, Maendeleo ta Watu. Ongeza Upendo, Amani, Furahan.k. Tulivikosa mno. Yaani nikiangalia yale mabomu wananchi wanakuwa Rais hawana kosa na waliopotea wengi. Basi acha tujaribu tena kwingine maana tunakoelekea siko kabisa. Tanzania ni nchi ya mfano bora DUNIANI sasa utapoteza hiyo sifa iliyojengwa miaka mingi. Tunaruhusu vitisho, Mateso, vifo vya raia, kupigwa risasi, mabomu n.k.
Nenda kwenye page yake ya tweeter.Hivi unamuona membe Hana akili au ni nini?.
Zunguka kwenye mitandao ya kijamii ya membe,zito na act WAZALENDO ANGALIA Kama kuna hyo barua.
Kuna chombo chochote Cha habari Cha Tanzania au nje kimetangaza?.
Tunajua mnapenda msikie hayo Ila msidanganyike.
HYO SAHINI Ya membe isikushangaze watu wanafoji mpaka saini ya magufuli na Trump.
Nenda kwenye page yake ya tweeter.
Si lazima kujiunga twitter kuona alichopost mtu. We Fanya kugoogle twitter search membe.Mimi situmii twitter.unashindwa kuscreen shot?
Waziri Mkuu huwa ni Mbunge wa kuchaguliwa kwenye jimbo na kwa kupigiwa kura bungeni..Aisee hii kama ni kweli basi Bernad Camilius Membe ndio Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 chini ya Serikali ya Tundu Antiphas Lissu. Mark my words
Si lazima kujiunga twitter kuona alichopost mtu. We Fanya kugoogle twitter search membe.
Madevu ametoa povu kwenye Press ila hajasema kuhusu hiyo Barua. Kwa maneno mengine, hiyo Barua ni FAKE!Itasuzungumzwa na mapesa?? Ili atumbuliwe?? Kuwa Kama una watoto wanakuona unafikiria vizuri!!.