Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

Ilikuwa ni suala la muda tu!
 
Bernard Kamillius Membe alitupwa jalalani na ACT Wazalendo, pale Kiongozi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama hicho walipotangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu.
Membe alishafikuzwa ACT na alitakiwa atangaze kujiondoa wakati ule!
Kitendo cha kuchelewa kujiondoa, kilimdhalilisha sana.
Alitakiwa ajiondoe kimya kimya.
 
Tatizo ni Zitto ni mtu wa tamaa sana
Hivi ndivyo unavyo mlipa Zitto kitendo cha kukiumiza chama chake na kukipa nguvu CHADEMA kwa kumtelekeza mgombea wao na kumuunga mkono wa CHADEMA?

Nyie watu hamna shukrani kabisa ..
 
Anarudi maccm huyu apigwe na ubalozi wa Burundi akapumzike.
 
Kumbe membe
 
Aende salama wanamsubiri alikotoka.
Akawasalimie, asisahau kuwaambia kambi aliyokuwa amehamia kuwa kumbe watu wababaishaji dizaini ya MATAGA hawawezi kuimudu!
 
Kwa hiyo card no. 2 iko empty inasubiri intruder maarufu apewe Kisha asepe na kuiacha Tena wazi?
 
NANI ATATIA ULE WINU MWEKUNDU PALE UWANJA WA TAIFA KISHWA APISHWAA?? NAJIONI TUTAFANYA TAFRIJA NA NANIII??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…