Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Karibu kundini jemidari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Uwanja Wa Taifa Nikishasaini Kitabu Kwa Kalamu NyekunduMzee wa dakika ya 89 na ushee....
Mara ya mwisho nilisikia yuko busy anaunda baraza la mawaziri.
Ilikuwa ni suala la muda tu!Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
[emoji23][emoji23] kwani lisu mliyemwamini kawafikisha wapiZitto tulikwambia
Bernard Kamillius Membe alitupwa jalalani na ACT Wazalendo, pale Kiongozi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama hicho walipotangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu.Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Mbona hapo ni kama unajitukanaAlistukiwa mapemaaaa....
Mbinu za CCM za kisenge sana....round hii mlikula wa chuya!
Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Kumbe membeBernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea 8Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Including mama yako maana naye ni mpinzani kama hujuiWapinzani wa Tz ni takataka kweli
Aende salama wanamsubiri alikotoka.Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Lawama zote no Zitto.Hawa wapinzani sijui watajifunza lini. Wamekuwa wakitumiwa kama tissue.
Kwa hiyo card no. 2 iko empty inasubiri intruder maarufu apewe Kisha asepe na kuiacha Tena wazi?Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
NANI ATATIA ULE WINU MWEKUNDU PALE UWANJA WA TAIFA KISHWA APISHWAA?? NAJIONI TUTAFANYA TAFRIJA NA NANIII??Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho