Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Huu ndo Upinzani wa Tanzania na tabia zake;
Berrnard?View attachment 1642690
Mission accomplished.
mbona collabo ilipigwa ?Mkuu Yani hata hujui kuwa lengo la Membe kupelekwa kule ilikuwa nikufanya juu chini ili CDM na ACT wazalendo wasiungane katika Uchaguzi?
Hata hujiulizi kwanini baada ya kupitishwa kuwa Mgombea halisi hakutaka hata kupiga kampeni Wala kuwanadi Wagombea wake wa ubunge na udiwani wa ACT?
Unafikiri bila Membe hiyo combination ya Zitto+ Lissu+ Maalim CCM wangepumua?
Halafu leo kirahisi tu unakuja kusema Membe hakuisaidia CCM katika Uchaguzi, are you serious?
Kweli nimeamini Watanzania wengi bado hawaijui siasa na mbinu zake.
Upinzani Waligundua kwenye sekeseke lile la Airport,Hapa mkiwalaumu wapinzani mtakuwa mnawaonea. Upinzani ndio walimtumia na sio vingine. Chadema hawakushughulika nae na ACT-WAZALENDO wakaamua kumuacha mgombea wao na kum support Lissu waziwazi. Na kwa sababu palikuwa na vyama viwili vya upinzani vyenye nguvu ilikuwa vigumu kukabiliana nao.
Amandla...
Kiukweli kabisa hili ni Joka tuu la Mdimu, hakuna kitu pale!. Tulimshauri hakusikia...Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Bernard Membe apokelewa rasmi ACTβWazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...www.jamiiforums.com
Membe mnampa kichwa tu, kamwe hajawahi kuwa tishio. This time upinzani ulijua kuwa accommodate watu wa aina yake bila kuleta madhara. Kilichopelekea wasiungane wala siyo Membe bali ni sheria ya vuama iliyotungwa kimkakati.Mkuu Yani hata hujui kuwa lengo la Membe kupelekwa kule ilikuwa nikufanya juu chini ili CDM na ACT wazalendo wasiungane katika Uchaguzi?
Hata hujiulizi kwanini baada ya kupitishwa kuwa Mgombea halisi hakutaka hata kupiga kampeni Wala kuwanadi Wagombea wake wa ubunge na udiwani wa ACT?
Unafikiri bila Membe hiyo combination ya Zitto+ Lissu+ Maalim CCM wangepumua?
Halafu leo kirahisi tu unakuja kusema Membe hakuisaidia CCM katika Uchaguzi, are you serious?
Kweli nimeamini Watanzania wengi bado hawaijui siasa na mbinu zake.
wewe una wezo, umeusomaje mchezoTatizo sio Membe bali uwezo wenu wa kuusoma mchezo wa siasa za bongo. Mnapita mule mule!
vyama ya siasa vipo kwa mujibu wa katiba ambayo ndio inayo inachezewa..... mchezo ni kutoheshimika kwa katiba ya nchi wanaichezea mpaka sikukuu ya Uhuru (tunu ya taifa) inakua anasa na kero.... watoto wetu hawata ihitaji tena kwa hili linaloendelea..... katiba yetu ni mchezo mchafu ndio maana haisomekiTatizo sio Membe bali uwezo wenu wa kuusoma mchezo wa siasa za bongo. Mnapita mule mule!
Ambaye mpaka sasa amecheza kadi zake vema na mnashindwa kumshitukia ni Mwalim Seif (huyu ni CCM kindakindaki)Huu ndo Upinzani wa Tanzania na tabia zake;
Kupokea makada wakongwe wa CCM Yani wale wa CCM damudamu
Kisha wanawapa vyeo vya juu ndani ya Chama mfano, wajumbe wa kamati kuu na n.k
Wanawapa nafasi za kugombea nafasi za juu kabisa kama Urais.
2015 ilitokea CDM baada ya Mzee mwenye nywele nyeupe kucheza na Akili zao.
2020 ikatokea kwa ACT wazalendo baada ya Jasusi mbobezi kucheza na Akili zao.
2025 tutegemee kada mwingine kwenda kucheza na Akili za Hawa wapinzani wetu.
Hivi nyie vyama vya Upinzani huwa hata hamjiulizi swali Hili; kwanini makada wakongwe wa chama Cha kijani hujifanya kuhamia kwenu wakati wa harakati za kampeni na Uchaguzi tu?
Kachero "mbobezi" Poor fellow his political carrier is in tatters ! Duniani hatikiwi akhera hatakiwi π
CHADEMA walishang'atwa na nyokaMembe hatokaa aisahau cdm maishani mwake maana cdm ndiyo ilikuwa ya kwanza kumpotezea Membe
Kamanda 'iliyompeleka' ni neno moja siyo mawili kama ulivyoandika. Nyie ndio mnaandika 'physio the rapist' badala ya physiotherapist πππAmetimiza kazi iliyo mpeleka huko
Umeonaeee?CHADEMA walishang'atwa na nyoka
Soma sentensi yangu ya mwisho.wewe una wezo, umeusomaje mchezo
Labda act wazalendo, lakini chadema si wapinzani, ni wapingaji πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUna maanisha Act wazalendo na Chadema sio wapinzani!
Kupoteza maboyahivi membe ameisaidiaje ccm kwenye uchaguzi huu ? kuwa mkweli