Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tatizo ni Zitto ni mtu wa tamaa sanaMwanadamu hachoki kujifunza. Nazani hili ni funzo endelevu kwa wapinzani. Ila wengi tulijua mwisho wa hii movie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni Zitto ni mtu wa tamaa sanaMwanadamu hachoki kujifunza. Nazani hili ni funzo endelevu kwa wapinzani. Ila wengi tulijua mwisho wa hii movie
Kwanini hakufukuzwa sasa?Sio habari, ilijulikana mapema hiyo
Huyo nae ni garasa hana impact yoyote kwenye siasa za sasa labda kwa ccm wenzie wazee wa kubebwa na system.
Hawa wapinzani sijui watajifunza lini. Wamekuwa wakitumiwa kama tissue.
Membe hajawahi kuwa mpinzani msidanganye watu, alikuwa muigizaji tu ndio maana akakosa impact baada ya kushtukiwa.Wapinzani wa Tz ni takataka kweli
Chanzo cha taarifa hii ni kipi?Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli hii siyo habari maana wapinzani walishazoea kuishi kwa stressSasa hii nayo ni habari? [emoji1787]
Nani aliyekudanganya Membe ni mpinzani?Wapinzani wa Tz ni takataka kweli
We punguani, ni nini?Sasa hii nayo ni habari? 🤣
Una maanisha Act wazalendo na Chadema sio wapinzani!Membe hajawahi kuwa mpinzani msidanganye watu.
Wapinzani wa tz ni kama magari ya dampo, kila uchafu yanazoa!Takataka ni babako na mamako
Katika watu ambao sijawahi kuwaelewa ni huyu Membe... Watu walimjaza maneno mtandaoni na akajaa kwelikweliBernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Namaanisha kazi mliyomtuma ilimshinda mapema sana, watanzania wa leo sio wa jana, labda alifanikiwa kumdanganya Zitto tu.Una maanisha Act wazalendo na Chadema sio wapinzani!
Sass hapo CCM inahusikaje?Huyo nae ni garasa hana impact yoyote kwenye siasa za sasa labda kwa ccm wenzie wazee wa kubebwa na system.
Acha upuuzi,mliyotuma unamaana gani?Namaanisha kazi mliyomtuma ilimshinda mapema sana, watanzania wa leo sio wa jana, labda alifanikiwa kumdanganya Zitto tu.