HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
HahahahahPale Uwanja Wa Taifa Nikishasaini Kitabu Kwa Kalamu Nyekundu
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahPale Uwanja Wa Taifa Nikishasaini Kitabu Kwa Kalamu Nyekundu
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Source of this information please!Bernard Membe ambaye alikuwa mwanachama na mshauri wa ACT-Wazalendo ametangaza kujiondoa katika chama hicho
Membe, katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 aligombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiko ambapo alifanya kampeni mikoa michache
Aidha, Membe, mwanachama mwenye kadi namba 2 ya ACT- Wazalendo amesema atajiondoa rasmi Januari 1, 2021
Kihistoria Membe aliingia ACT-Wazalendo mwaka 2020, akitokea CCM
Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama. Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na viongozi wengine wa chama wa Bara na Zanzibar wote watawaongoza wanachama kumpokea...www.jamiiforums.com
Sasa hapo takataka wapinzani au membe mwenyewe?Wapinzani wa Tz ni takataka kweli
Mmawia punguza jazba. Unajua ukianza ku-misbehave tutaulizwa sisi wakubwa wako.Takataka ni babako na mamako
Hivi Membe naye alikuwa tishio ?Tatizo sio Membe bali uwezo wenu wa kuusoma mchezo wa siasa za bongo. Mnapita mule mule!
Huyu mh lissu ni nabii mpende msipende,
Wakati anashiriki kwenye vikao vya mikakati ndio ulikuwa muda mzuri wa kuuliza hilo swali lako.Hivi Membe naye alikuwa tishio ?
Membe hatokaa aisahau cdm maishani mwake maana cdm ndiyo ilikuwa ya kwanza kumpotezea MembeMembe hajawahi kuwa mpinzani msidanganye watu, alikuwa muigizaji tu ndio maana akakosa impact baada ya kushtukiwa.
Hata ivo hakuwa na maajabu in lulu diva's voiceView attachment 1642690
Mission accomplished.
misheni ipi sasa , kura za kwenye mabegi ?View attachment 1642690
Mission accomplished.
Yani hawa jamaa wanatabirika sana hawafai kua. Wapinzani kabisa watauza ramani kwa aduiTatizo sio Membe bali uwezo wenu wa kuusoma mchezo wa siasa za bongo. Mnapita mule mule!
Kuvuruga uchaguzi na kurudi CCM.misheni ipi sasa , kura za kwenye mabegi ?
CCM bado akili kubwa sana kwenu mmejaa textbook politics sana...........UPINZANI wa kweli bongo labda 4000 A.DKuvuruga uchaguzi na kurudi CCM.
hivi membe ameisaidiaje ccm kwenye uchaguzi huu ? kuwa mkweliCCM bado akili kubwa sana kwenu mmejaa textbook politics sana...........UPINZANI wa kweli bongo labda 4000 A.D
Mkuu Yani hata hujui kuwa lengo la Membe kupelekwa kule ilikuwa nikufanya juu chini ili CDM na ACT wazalendo wasiungane katika Uchaguzi?hivi membe ameisaidiaje ccm kwenye uchaguzi huu ? kuwa mkweli