FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Weka niisome na jamii iisome, wacha porojo. Makamu wa Rais Tanzania hana awezalo kumpinga Rais.Wewe mama hebu soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.
Kumbuka, Rais wa Tanzania ni Kama mfalme au Malkia, ana mamlaka makubwa ndani ya Tanzania kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani. Makamu wa Rais hana mamlaka hayo.
Makamu wa Rais anaweza kupingwa na Rais afanyapo maamuzi lakini Rais hawezi kupingwa na Makamo wa Rais. Msimsingizie mama madudu aliyoyafanya ngosha.