Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kama membe angekuwa mtu wa kuachia wenzie angeshamwachia magu, kamwe hatamaachia lisu
Uondokaji wa Membe na Lowasa CCM unaotofautiana sehemu ndogo sana.
Ila lengo lao ni lilelile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama membe angekuwa mtu wa kuachia wenzie angeshamwachia magu, kamwe hatamaachia lisu
Hahaha hahaha hahaha dah Hiki Cha Arusha kabisa Kwamba Tundu Lissu ni Zaidi ya Mandela na Gandhi dah Bro Dunia huwa haiendeshwi kwa huruma hakuna Asimuhurumia Lissu kwa tukio la kupigwa lisasi ila haiwezekani ndio I we moja ya sababu kumpatia Dola Kwa sasa Sioni kama Anauwezo Wa Kuendesha hata mkoa Kumwekea Pingamizi Magufuri kisa Passport size ni wehu toka kwa MTU anaegomegombea Ofisi kubwa kama Ikulu tena in utoto he is Not serious at allKwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania...
Hayo ni maoni yako. Katika mawakili Tanzania sidhani kama wako ambao wanaweza kufikia level ya Tundu Lissu. Hata akiongelea jambo lolote basi anavolichambua unajua huyu mtu ni kichwa.Lissu sio asset
Ndiyo maana nikasema kama hatuna political maturity. Kuna baadhi ya viongozi ambao wanachaguliwa kwa sababu ni wapambe wa ccm. Angalia mfano mzuri Aung San Suu Kyi wa mynmar ambae alifungwa na military junta na sasa anachapa kazi nao. Nadhani only in znz waliteua serikali ya mseto (CUF and CCM) na ilipendwa na wananchi wengi na pia kukawa hakuna mgogoro wowote baadae. Mandela wa SA nae alifanya hivyo alipochaguliwa kuwa raisi nae.Ni ngumu sana kumeza kumteua Tl.
Unamteuaje kwenye serikali yako mtu ambaye huwa kazi yake ni mashambulizi kwako tu na kukukosoa? Ni sawa na kuajiri kijana wa kazi za nyumbani ambaye ni mchapa kazi kweli ila huwa anasifia sana uzuri wa mkeo mtaani.