Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwanini Lisu asimuunge mkono Membe?Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Lisu asimuunge mkono Membe?Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Ilitokea wakati yeye yuko serikaliniIshu ya uamsho si rahisi kama anavyodhani. Amuulize JK anaweza kumpa jibu
Atasimama kama yeye, Lisu ndio anatakiwa amuunge Mkono MembeHuyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Siyo kwamba hajui! Anajua sana ila anajaribu kucheza na akili za watuIshu ya uamsho si rahisi kama anavyodhani. Amuulize JK anaweza kumpa jibu
Kila apambane kivyake na kuna ngome,Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote.
Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na CCM.
Hayo unayoona huko Zanzibar ni ngome ya Seif, lakini ushindi wa kweli wa CHADEMA uko huku bara. Na kwa upande huu wa bara, cdm ina uungwaji mkono wa kutosha.
Muungano wa Ukawa umewafanya CUF & NCCR kuleta tafrani zenye kuharibu haiba ya CHADEMA, jambo ambalo sio sahihi kujirudia sasa.
Muungano tayari ushakubaliwa. Msikilize Zitto jeneralonline
Kura ni rahisi sana kugawanywa kukiwa na picha nyingi za wagombea.Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote.
Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na CCM...
Huo ndio utawala wa sheria wanaojinasibu wataufuata? Ikiwa huyu jamaa au Lissu watashinda nchi hii itaingia katika chokochoko za kidini na kikabila. Unapotaka watu wawe na uhuru usio na mpaka katika kuzungumza kwa kisingizio cha uhuru wa habari na mazingira yetu haya ambapo watu hujazwa jazba kirahisi basi tegemea vurugu za kidini na kikabila.Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar...
Hujui hayo yalikuwa makubaliano katika ukawa na pia ni adhma ya Maalim Sefu hadi sasa.Kwani angekuea rais wa JMT.
Kura ni rahisi sana kugawanywa kukiwa na picha nyingi za wagombea.
Sasa kama Seif angeshinda Zanzibar alafu Tanzania bara akashinda mgombea wa Ccm mgelitekeleza vipi? Maana wewe umeshupaza shingo Mzee Seif kushinda Zanzibar.Hujui hayo yalikuwa makubaliano katika ukawa na pia ni adhma ya Maalim Sefu hadi sasa.
Kuna wa tatu ambae yupo pale kuchukua kura za mwingine. Achilia mbali hao 10+Wagombea wako 10+, unategemea zisigawinyike? Lakini yote kwa yote, wagombea wanaoweza kupata zaidi ya kura 1m+ ni wawili tu ambao ni mgombea wa ccm, ambaye anaweza kushinda kihalali au kinyume chake, na mgombea wa Cdm kama hatawekewa mizengwe kutokana na maagizo ya rais aliye madarakani.
Kuna ukakasi mwingi kwenye hili la kuungana. Hata niliangalia kelele nyingi zaidi za kuungana zaidi ya kutoka kwa mashabiki wa hivyo vyama, lakini pia ni Zitto na ACT yake ndie anaonekana kupigia chapuo zaidi hilo suala, na hata mahojiano yake ya karibuni anaonesha ni kama vile tayari hivyo vyama vimeshakubali kuungana.Uko sahihi kabisa, imejionyesha dhahiri bila shaka uwezo wa hivi vyama kuungana haupo, na haya mashinikizo ya kuungana ni ya washabiki ambao hawajui kwa uhakika namna vyama hivi vinavyoendeshwa...
Unaweza kufurahi hatukatai, ila mjue tutalia na kusaga meno endapo magufuli hatakuwa rais kwani opp hakuna viongozi ni wahiniwahuni tuMagufuli aking'oka madarakani nitafurahi na kusheherekea. Ni ngumu kwa kura Ila kwa maombi tu nikumuombea makamu wa Rais awe Rais kabla ya uchaguzi mkuu oktoba kwa mujibu WA Katiba.
Huo ndio utawala wa sheria wanaojinasibu wataufuata?
Ikiwa huyu jamaa au Lissu watashinda nchi hii itaingia katika chokochoko za kidini na kikabila. Unapotaka watu wawe na uhuru usio na mpaka katika kuzungumza kwa kisingizio cha uhuru wa habari na mazingira yetu haya ambapo watu hujazwa jazba kirahisi basi tegemea vurugu za kidini na kikabila...
Kuna ukakasi mwingi kwenye hili la kuungana. Hata niliangalia kelele nyingi zaidi za kuungana zaidi ya kutoka kwa mashabiki wa hivyo vyama, lakini pia ni Zitto na ACT yake ndie anaonekana kupigia chapuo zaidi hilo suala, na hata mahojiano yake ya karibuni anaonesha ni kama vile tayari hivyo vyama vimeshakubali kuungana...