Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

Kati ya June hadi Oct lolote linaweza kutokea - Jasusi
 
Wewe na MATAGA wenzio muungeni mkono huyo JIWE lakini Membe na CCM tuliowengi na Umma wa Tanzania tunamng'oa Jiwe mwaka huu 2020. Jiwe ni one term President.
Magufuli atashinda kwa 100% by the way who is Membe? Alishafukuzwa kama Mbwa koko aende zake huko
 
Membe ni takataka hana tofauti na waigizaji wengine tu
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Mtakoma mwaka huu matetezi ya majizi na mashoga nyie
 
Hii ndiyo inaitwa kinagaubaga bila twashwishi au kupepesa macho kama wanaLumumba wengine waoga.
 
Wewe ni ZWAZWA tu wa kungoja urushiwe makombo ndani ya ccm kwa vile babaako ni shoga na akakufundisha na wewe kuufanya huo upuuzi basi unadhani ni kila mtu yuko hivyo. Mbwa koko wewe.

Membe mpeni agombee CHADEMA ccm tulishamfyatua huyo shoga yenu
 
Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Nmemsikiliza Membe naona huyo jamaa safari ya kwenda ACT au Chadema imeiva. Namnukuu:

"kama sitapata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda basi toka Mtama kwenda dar lakini likikushusha njiani unapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaleyale ya Lowasa yanajirudia. Jiandaeni kuzungusha mikono na kudeki barabara.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni ZWAZWA tu wa kungoja urushiwe makombo ndani ya ccm kwa vile babaako ni shoga na akakufundisha na wewe kuufanya huo upuuzi basi unadhani ni kila mtu yuko hivyo. Mbwa koko wewe.
Kwa sababu MTU mwenye akili timamu haongei ujinga kama wako Membe alishafukuzwa Si mwanaCCM aende ACT tumchanechane kama karatasi mwepesi huyo akipata hata kura 100000 namnunulia V8
 
Hakika huyo Membe atakuwa anamkosesha usingizi huyo jiwe hapo Magogoni/Chamwino

Between now and October this year, tutashuhudia kile ambacho mwenyewe Membe amekiita kitaleta mshindo mkubwa ndani na nje ya Tanzania!
Ni zigo lenu hilo, kama si chadema basi ni ACT, msikilize vizuri kila neno utamwelewa.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujibaraguza eti unanijua FISI wewe!!! Aliyekwambia niko Marekani nani shetani wewe? Acha kujikomba komba kwangu SITUMII hiyo kitu wapelekee wengine wakakune mbwa koko wewe. Ungekuwa hata na 5% ya IQ yangu usingeandika huo ujinga wako. Ni bora tu ungetupwa jalalani ili kupunguza majuha Nchini.

IQ yako ndogo sana Kilaza kabisa huna akili yaweza kuwa huko Marekani wanakudanyizia
 
wanasiasa ni wahuni sana.yeye akiwa waziri kwa nini hakushawishi tume huru?
 
Akichukua unitag mkuu, nianze kutafuta kadi yangu ya mpiga kura maan ahata sijui iko wapi
Lini sasa atachumua fomu syo kuongeaongea tu tunataka vitendo
 
Mimi si MATAGA ila frankly speaking, JPM kajijengea empire kubwa sana ya kidola. Kumtoa pale atasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…