Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Magufuli atashinda kwa 100% by the way who is Membe? Alishafukuzwa kama Mbwa koko aende zake huko
Kama kujua tu kuwa Membe si mwanaccm inakuchukua miaka ukifundishwa Calculus unazimia ukiongezewa na Anatomy you got paralysisAcha kujibaraguza eti unanijua FISI wewe!!! Aliyekwambia niko Marekani nani shetani wewe? Acha kujikomba komba kwangu SITUMII hiyo kitu wapelekee wengine wakakune mbwa koko wewe. Ungekuwa hata na 5% ya IQ yangu usingeandika huo ujinga wako. Ni bora tu ungetupwa jalalani ili kupunguza majuha Nchini.
Jiwe atakuwa anapiga ngumi kuta za IKULU [emoji23] [emoji23][emoji23]
Hivi unaelewa kiswahili wewe? Kasema anataka kugombea kupitia ccm acha kujitoa UFAHAMU.
Hatutaki takatakaSasa kama atashinda kwa 100% mbona mmeprint form moja na huku mtaani mmemwaga POLICCM?
By the way kaa chini unywe maji Bwashee ili upunguze hasira π ππ
Mzee naona umeanza rasmi kazi ya kupiga ramli ghafla!!Nmemsikiliza Membe naona huyo jamaa safari ya kwenda ACT au Chadema imeiva. Namnukuu:
"kama sitapata haki yangu ya kugombea ndani ya ccm ntaitafuta nje ya ccm"
"unaweza kupanda basi toka Mtama kwenda dar lakini likikushusha njiani unapanda hata bodaboda kufika unakokwenda"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaleyale ya Lowasa yanajirudia. Jiandaeni kuzungusha mikono na kudeki barabara.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu achana na hawa washabiki wa hapa jf wajingawajinga kina BAK,wanasiasa ni wahuni sana.yeye akiwa waziri kwa nini hakushawishi tume huru?
Hapana kwenye alkasusu!!Usibidhane na buku saba, upeo wake umeishia kwenye urojo
Ndani ya CCM kuna jambo....!!
Acha ujinga Membe si mwanafunziUsibidhane na buku saba, upeo wake umeishia kwenye urojo
Acha mihemko naomba msikilize vizuri huyo Membe neno kwa neno kisha njoo hapa useme unaona Membe anamwelekeo gani?Mzee naona umeanza rasmi kazi ya kupiga ramli ghafla!!
Usibidhane na buku saba, upeo wake umeishia kwenye urojo
Hili libak hili lingese sana utasubiri mpaka unakufa kifaranga ww Magufuli ni level za Rais Maarufu Duniani tutamuongezea atawale miaka 30 Rafa ww utaparalyseTena jambo kubwa sana ambalo linaweza kuitikisa Nchi na kuacha kishindo kikubwa sana huku Watanzania tukiingia mitaani kwa furaha kubwa sana ya nduli kupigwa mweleka na hatimaye miezi michache ijayo kupandishwa kizimbani kwa mashtaka yake chungu nzima kuhusu maovu yake mbali mbali kabla hajaingia Ikulu na baada ya kuingia Ikulu na HATAPEWA DHAMANA.
Ha
Hatutaki takataka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kule wanatenda ila Membe anaongea, nadhani unaona tofauti yake hapo.Maneno mazito kutoka kwa Kada wa CCM asilia, mpaka sasa watu kimya mitaa ya Ofisi Ndogo Lumumba Dar es Salaam na kule Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Uzi huu wanausoma na kupita kama hawajauona na wale wanaojitutumua CCM Mpya badala ya kujikita ktk hoja wanaonesha hasira na kwenda nje ya mada
Wewe ndio kichekesho tena Kinyago kabisa cha Mfalme Jiwe.Huyu Baba kichekesho sana. Mimi ningekuwa niyeye ningemuunga mkono raisi maana anafanya kazi nzuri. Ni kipi Membe ataleta kizuri au Magu hajafanya?
Au watu tunataka kurudi kwenye kupiga??God forbid Membe hawezi kuwa raisi wa JMT
Kati ya Membe na Lisu kura yako unampa nani ?Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.
Mkuu kimenuka !Pambana na huyo Magufuli mpaka kieleweke. Washa moto ndani ya CCM ili kumtoa Ikulu. Anajua fika kwamba ukichukua form KWISHA HABARI yake kwani wengi ndani ya CCM hawataki hata kusikia sauti yake au kumuona sura yake.