Keshapigwa na chenye ncha Kali na kamati ya maadili....
Ila mh.Benard Membe anajiamini mno..
Akizielezea sifa zake ni lazima ukubali jamaa kichwa na mbobezi haswa....
Kinachonichekesha tu ni kuziweka pembeni sifa zake TUNDUIZI na kuchagua njia ambayo haitamfikisha anakokutaka....
All and all,he is intelligent and determinant mno.Nikiwa kijana ninatamani kumuona tena mbobezi huyu akirudi nyumbani kwetu CCM baada ya kumwandikia barua mwenyekiti wa chama kuomba UANACHAMA upya na kukiri usumbufu aliousababisha kwa wanachama wote kwani tunampenda na kujua ni HAZINA ya taifa HILI..
Ninaamini ATASAMEHEWA Kama alivyosamehewa mh.Lowassa na MAKANDOKANDO YAKE yote....
Mfikishieni habari kuwa tunampenda na tutasikitika kumuona anajiunga na chama Cha UPINZANI halafu tukutane nae katika UCHAGUZI na akose kupata Kura hata laki 3,kwani ninaamini hatozifikisha.
Hali ya kuzipata hizo Kura zake chache itampunguzia ile heshima yake kubwa aliyonayo na itamfanya asikumbukwe katika historia Kama ile aliyoiweka mh.Lowassa ya zile Kura milioni 6.
Ninaamini atayasoma haya na kabla ya mwezi wa 8 atakuwa ameshachukua HATUA ya kubaki katika chama na tutakuwa naye majukwaani kulinadi jembe letu Magufuli.
Sempre sempre El commandante BCM.
Hasta la Victoria,aluta continua.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.