Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunasisitiza utalii wa NDANI, tumekuza uchumi, Hali ya kipato Cha Mtu mmoja mmoja imeboreka Sana, kwa Sasa kila kaya Ina wastani wa magari mawili. Tunajitegemea kikamilifuTumejitenga na dunia hata takwimu za corona hawapati ng’o. Watalii watakaokuja kwetu wakirudi makwao waende karantini kwa siku 14. Maana yake uwe na siku 28 au zaidi za likizo.
Na kule Kusini kila mkulima anamefanikiwa kujenga ghorofa kutokana na neema ya korosho.Tunasisitiza utalii wa NDANI, tumekuza uchumi, Hali ya kipato Cha Mtu mmoja mmoja imeboreka Sana, kwa Sasa kila kaya Ina wastani wa magari mawili. Tunajitegemea kikamilifu
Magari siyo kipimo cha uchumi kukua, huko unako kuhusudu sana ulaya au marekani kuna kaya nyingi tu hawana magari! Wanategemea usafiri wa public, kama daladala, mwendo kasi, SGR, Meli (mfano new Victoria.)Tunasisitiza utalii wa NDANI, tumekuza uchumi, Hali ya kipato Cha Mtu mmoja mmoja imeboreka Sana, kwa Sasa kila kaya Ina wastani wa magari mawili. Tunajitegemea kikamilifu
Mungu gani? huyu ambae hapendi unyanyasaji, utekaji, kubambikia watu kesi, mfano akina nyagali, Tito, Theo, na wengine!? Huyu Mungu wenu ni Wa ajabu!MUNGU YU NASI DAIMA!Corona haipo tena
nakushauri ugombee uongozi wowote ule, hata kuwa kiongozi wa familia yako badala ya mumeo ili wafaidi utopolo wako mama,Tumejitenga na dunia hata takwimu za corona hawapati ng’o. Watalii watakaokuja kwetu wakirudi makwao wanatakiwa waende karantini kwa siku 14. Maana yake uwe na siku 28 au zaidi za likizo.
Angekuwa na akili angejua uongozi kupitia CCM ni miaka 10 tu ambayo inabidi aheshimu. Hata Magufuli akibadili katiba ndani ya CCM apiti baada ya miaka kumi.
Angetumia huo ujasusi wake kuakikisha Magu aongozi nchi zaidi ya miaka kumi kama wenzake walivyojipanga. Aache njaa na kuropoka ovyo kama ana tamaa aende upinzani hila ajue bashiru, Polepole na Mangula awawezi isumbua CCM baada ya miaka kumi ya Magu he will go apende asipende. Sasa bora angejiunga na hilo kundi la kulinda chama kuliko kuleta tamaa.
After that he is done, Membe inabidi aheshimu CCM rituals, muda ukiisha fujo ruksa.Katiba ya CCM inasema uongozi ni miaka kumi au miaka mitano ukipata ridhaa tena ya chama unaongeza mitano?.
Kama uongozi ni miaka kumi basi Magufuli asingechukua fomu safari hii ku!
Jibu kamili nadhani analo muhusikakama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, former minister of foreign affairs BENARD MEMBE, alizungumza na kituo cha habari cha BBC news na kuweka wazi nia yake ya kutaka kugombea urais kwa tiketi ya kusema kuwa anadai uhuru .. sasa swali ni je, uhuru gani anaodai mzee wetu benard membe ?? .. nawasilisha ..
mchango wako mkuu! we unadhan ni uhuru ganJibu kamili nadhani analo muhusika
haijajulikana bado lakini alitangaza nia ya kumchallenge JPMAnagombea kupitia chama gani? Si amewachimba mkwara wapinzani waungane kwanza ndiyo wamuombe agombee?