Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Basi hapo chadema mtashangilia kweli kweli!

Na muweke akiba ya maneno maana wakigeuka mnaanza tena kulia.

Membe ni mwanasiasa huyo hana tofauti na Kinana au Msigwa.
Wewe ni mwanakwaya wa kusifia uozo
 
Hata Msigwa alikuwa na mbwembwe kama hizi za Membe, nadhani unajua kilichotokea.
. Huwa tunawaonya kila siku msiwaamini wanasiasa aina ya Membe.
Ila tuaminu aina ya nani?
 
Hamna jasusi mzee, huyo mzee ni mstaafu kama wastaafu wengine. Mbwembwe zake za ujasusi ni wakati alipokuwa kwenye system. Hapo alipo hata akitokezewa na vibaka wa simu atategemea kung'ata tu.
Membe anaweza kupaa siku 2 angani kama ulifuatilia vizuri shaolin soccer utaelewa.
 
Sawa mkuu lakini ujumbe umeuelewa
Ndugu yangu wee. Tatizo siyo kuelewa ujumbe bali ni kutaka umakini uwepo kwa chochote tunachokifanya. Haya makosa unayoona ni madogo huwa yana athari sana. Na mbaya zaidi hili tatizo limeota mizizi Tanzania mpaka kwenye sehemu muhimu sana. Nakumbuka cheti cha mwanangu cha kuzaliwa kilikosewa jina, wakaandika Malia badala ya Maria. Ilinigharimu muda na fedha kubadilisha kwani nilikuwa nakihitaji kwa haraka! Hebu jaribu kusoma mchango wa member mmoja anaelezea alivyokutana na dhahama kwa sababu ya makosa ya kijinga kama haya. Akichangia kwenye thread mwandende anasema
Thread iko hapa:
Kutoka South Africa: Balozi wasaidie Watanzania hawa kurejea nyumbani
 
Subiri,

Nafikiri nyie hata muwekewe kujifunza kwa picha hamuwezi kuelewa!

Hivi unamjua Lijuakali wewe? Alikuwa na msimamo kuliko huyo Membe wako.
Usifananishe membe na vitu vya kipumbavu
 
Basi mwambie M/Kiti aende mahakamani
Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani.

Kilichofuatia wote tunakijua.
 
Mwambie M/Kiti aende mahakamani basi jomba.
 
Well done huu ndo uzuri wa kutokuwa na njaa kali na kujiamini pia nakuunga mkono Membe
 
Uchaguzi wakaribis;
SEBENE LIMESHAWEKWA NA SISIEMU, bavicha wanakata mauno kama kawaida.
 
Unalolisema ni sahihi. Lakini kumbuka watanzania wengi tunaongea na kuandika kiswali kwa kuendana na lugha za asili. Hili ndilo tatizo kubwa ambalo kuliondoa haitawezekana.

Kwa mfano watoto wa siku hizi hapana wanaandika/wanatamka apana. Asubuhi wanaandika/wanatamka hasubui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…