Balozi zetu ni KANSA....ya muda MREFU sana...nilishapoteza passport GREECE...nikatuma maombi ubalozi wa Tanzania Italy..wakasema nitume na pesa za stamp....hawana pesa za kuituma passport yangu...nilituma barua na euro 50 kipindi hicho...euro 30 gharama za passport na 20 euro gharama za kutuma passport,, huwezi amini passport imekuja lakini imeandikwa date of birth 5/6/2011 ,,date of issue 11/6/2011 ..mkuu sikuishtukia hyo hadi nipo PERAUS AIRPORT...naulizwa date of bith ni hii? kuangalia duu,,,wakaniuliza una mri wa six days? nikabaki sina majibu,,uzuri walituma na risiti ya ubalozi Italy...sababu nilikuwa narudi nyumbani basi wakaniacha nirudi ,,nilikuja kupata usumbufu mwingine hapa JNA...yapo matukio mengi ya kusikitisha ya balozi zetu...hawana msaada na raia....kuna siku mtanzania Fulani alizuiwa kuingia airport sababu ya yellow card...ktk complained jamaa akaomba aitiwe ubalozi wa Tanzania aje amsaidie,,yule balozi alipokuja akasikiliza Yale malalamiko ya wale watu weupe..,halafu akamuuliza yule mtanzania,, umefata nn huku? Tulieni nyumbani...wewe rudi tu...halafu akaishia zake,,pale pale wale jamaa walistaajabu sana,,,mwishowe wakamuacha jamaa aingie pale kwao kwa huruma yao.....ndy maana watu wakipatwa matatizo yeyote hatutaki wajulishwe mabalozi wetu.. Kwani hawana msaada zaidi ya UKUDA tu...na kuturipoti nyumbani kama wahalifu...