Huyo ni lopolopo, lazima atie neno hata kama hana la kuzungumza,analipwa kadiri ya comments zake hivyo msamehe bure mana yukk kazini huyoWewe mwongo sana, thibitisha au umekosa ya kusema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni lopolopo, lazima atie neno hata kama hana la kuzungumza,analipwa kadiri ya comments zake hivyo msamehe bure mana yukk kazini huyoWewe mwongo sana, thibitisha au umekosa ya kusema?
Unajuwa Mh wetu kuna mambo alipaswa yapotezea Ila kwa hili naona kama ni hatari sana Membe kuna kitu anajuwa nauwenda kinamuuma sana sote atujuwi. Ila ugumu unakuja nani wakumvika paka kengele? Hujipendi? Nakama ukimgusa hauwez tikisa Nchi? ,,nani wako nyuma yake na wana agenda gani? Je ukigusanisha moto na milipuko haviwez tokea?
Upinzani umekufanye usifikilishe akili yako hata kidogo. Hivyo lolote linalosemwa kuhusu kuiponda ccm unlichukua kama lilivyosemwa. Kama una umri mkubwa kidogo (25+ years) kwa kipindi hicho cha miaka kama mitano iliyopita ungewa kufikilia kuwa wafuatao walikuwa ni wanachama wa CCM?Ni Upuuzi tu kumuomba, Kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu
.
Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu?
Wakina Lissu na watu waliopotea akiwa Rais mbona yeye ajaomba msamaha?
Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi ovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?
Wasio na pakushika tu na mafisadi ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja na Nape.
Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.
R. I. P.
Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338
Wanaume kama nyie ndio mliojazana Bongo mnapenda sana kulamba miguu ya wanaume wenzenu "ndio mzee" nyingi na kusaka vyeo wakati Watanzania wanaangamia kwa utawala mbovu wa kiharamia na usikute ww ni kijana kabisa lkn unatetea uonevu.Hata Msigwa alikuwa na mbwembwe kama hizi za Membe, nadhani unajua kilichotokea.
. Huwa tunawaonya kila siku msiwaamini wanasiasa aina ya Membe.
Hata mchungaji Msigwa alimwambiaga hivyo hivyo mzee Kinana kwamba kamwe hatamwomba radhi na kama anamind aende mahakamani.
Kilichofuatia wote tunakijua.
Maisha yanaangamiaje?Wanaume kama nyie ndio mliojazana Bongo mnapenda sana kulamba miguu ya wanaume wenzenu "ndio mzee" nyingi na kusaka vyeo wakati Watanzania wanaangamia kwa utawala mbovu wa kiharamia na usikute ww ni kijana kabisa lkn unatetea uonevu.
Ulijua kama Lijuakali yule aliyefungwa miezi 6 kuna siku kama ya leo atakuwa ccm?Kwanza sikuona sababu ya kujisumbua ili kujua hilo maana hana sifa ya kusumbua akili yangu
Hakuna mtu mwoga kama membe
Subiri,Ndio maana nasikia amegoma kumsujudia Mtu
Barua anayo MembeMlimpa barua?
Una hasira sana!.kwenye kikao cha saa saba mchana siku ya mchakato wa kuteua majina ya uraisi july 2015 kuna makubaliano yalifanyika kuwa jpm atawale miaka mitano halafu amwachie membe!!!sasa naona jpm kagoma anataka atawale hadi pale moyo wake wa betri utakaposimama ndio uwe mwisho wa utawala wake!!!tusubiri tuone!!!
Ujasusi wake unasaidia nini sasa? Wakati wajanja wameahamdampoMembe ni jasusi pia
Huyo Ndio JASUSI MBOBEZI ninayemfahamu mimi , HAKUNA KUOMBA RADHI KWANI RADHI HIYO KWIOOOOOOO!!! 😀 😀 😀 😀 😀Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kuna maswali?
View attachment 1470338