Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

Mtu mweusi kweli hajiamini ! Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu
Marekani äna hiyo muscle though, hata hivyo huu uamuzi wa Marekani umekosolewa vikali pia
 
Pumba ,takataka ,kinyesi ,mavi ya nguruwe,,tupa kule ,hamuwezi na hamtaweza,njama za kifala dhidi ya awamu ya tano,pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mweusi kweli hajiamini ! Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu
Kwa hiyo Trump akilitukana shirika la WHO na sisi Tz tutukane twende naye sawa.
 
Mtu mweusi kweli hajiamini ! Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu

Ni mpuuzi fulani hivi, walizoea kwenda huko kushikwa shikwa makalio kwa pesa za wanyonge, sasa kukosa hiyo nafasi kipindi hiki anatabili vitu ambavyo havipo, WHO wenyewe njaa tupu wanasubilia michango ya mataifa ndo wajiendeshe, jambo la corona halina masikini wala nchi tajiri na ili dunia itulie corona =lazima iishe dunia nzima. Sasa tutatengwaje wakati hatutakuwa na corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…