Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

Wakati akiwa waziri wa mambo ya nje, ushirikiano aliouimarisha ulimsaidia yeye na mafisadi wenzie kujilimbikizia mali na kuuza maliasili za nchi.
 
Pumba ,takataka ,kinyesi ,mavi ya nguruwe,,tupa kule ,hamuwezi na hamtaweza,njama za kifala dhidi ya awamu ya tano,pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
Pathetic ni yule anayefikiri nchi yetu inapambana na korona ipasavyo bila kujua nchi nyingine zenye uzoefu wa magonjwa ya mlipuko zinavyofanya, ni yule anayeweka siasa kwenye hili janga. Vipofu na viziwi wasiona na kujua mipaka yetu inafungwa taratibu na wale tuliowafungulia mipaka eti ili wabebe mizigo yao toka bandari zetu.

Pumba na mavi ni uamuzi wa serikali kutotangaza visa vya korona wakati dunia nzima inashirikiana kupigana na korona, mjinga na mpumbavu ni yule asiyejua kutokana na idadi ya wagonjwa na kutopambana na korona kikamilifu kutatutenganisha na dunia nzima, mpumbavu ni yule asiye muelewa Membe.
 
Poor you, eti ugonjwa uliletwa na Tz? Bullshit. Neema Njoo hapa
 
Mahitaji gani kwa mfano yalowekwa na WHO ambayo hayajazingatiwa? ushauri upi wa kitaalamu haujahimizwa na viongozi wananchi waufate?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, umesahau malalamiko yao kuhusiana na taarifa za zika zilizopelekea kuondolewa kwa Dr. Mwele? WHO inahitaji taarifa za maambukizi, vifo, wagonjwa na uponaji (hata namna walivotibiwa) KILA SIKU!! Ukitoa taarifa ya jumla itawekwa kama figure ys siku uliyoitoa na ndio maana WHO walishangaa maambukizi kuongezeka kwa 500%. Je wewe umesikia taarifa tajwa kila siku??

Chanjo nyingi za hapa nyumbani hutolewa bure kwa wananchi lakini zikiwa zimelipiwa na wafadhili au wahisani. WHO ndiye coordinator wa mambo haya - hatuna budi kufanya nao kazi pamoja!
 
Serikali ya Awamu ya tano ijiuzulu tu inatutia aibu kwa majirani SADC na dunia
 

Nauliza tu kupanua ufahamu wangu:
Anaposema kuigharimu Tanzania 'kiunajimu' anamaanisha nini? Je, 'suluhisho la ulimwengu' juu ya Corona ni lipi?
 
sauti iliayo nyikani..yanyoosheeni mapito ya bwana
 
naomba mfano mzuri wa Nchi iliyozingatia miongozo ya WHO na wamefanikiwa kiasi gani kudhibiti COVID119
nijuavo mimi USA walifunga mipaka wakiwa vifo 0. leo wana vifo 82,000. wana maabukizi takriban 1,300,000 ukilinganisha na 10,000 wakati wanaanza Lockdown.
Uingereza walifunga mipaka wakiwa na wagonjwa 6650 na vifo 336 March 23 leo wan vifo 32,000 na cases zaidi ya 220,000.
Putin yeye alifungia watu akafungulia simba mitaani leo hii ana cases zaidi ya 230,000.
hao walifunga mipaka, wakaamuru social distancing, kuvaa barakoa, wakapima watu kwa nguvu, wamejaza na ma ventilators na wengine kujenga mahospitali mapya...
mjerumani aliyeonekana ameanza vizuri mpka akabeba Waitaliano akawahudumie kwake leo hali mbaya.

kuna kitu hakijfahamika kuhusu huu ugonjwa, tuhifadhi maneno
Nchi zenye rasilimali fedha na rasilimali watu ndio zimeumia vibaya wakati nchi kapuku zina ahueni
 
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amezungumzia uhusiano wa Kidiplomasia uliopo kati ya Tanzania na nchi za jirani katika kipindi hiki cha mlipuko wa #COVID19

Amesema kwasasa nchi zipo katika mapambanao dhidi ya #CoronaVirus na dio maana nchi kama Zambia zinafunga mipaka yake na kuzuia watu waziende ikiwa ni njia ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo kutoka sehemu moja

Amesema "Kama Zambia wamefunga mpaka wake na kuzuia magari yasipite, huo ni mkakati na hatua ya kuzuia maambukizi ya #COVID19 na ndio maana inatakiwa tufanye mambo haya kwa pamoja kwa pande zote mbili"
-
Aidha, kuhusu kupimwa kwa Madereva wa Tanzania wanaotaka kuingia Kenya, amesema kidiplomasia ni kwamba nchi za jirani zina wasiwasi sana kwamba Tanzania inaweza kuwa inapeleka ugonjwa huu kwenye nchi fulani

Ameeleza "Wasiwasi huu unaweza kuwa unakuja baada ya kuona pengine hatufungamani ni vigezo vya WHO ambavyo vimewekwa na dunia nzima vinavifuata labda mpaka pale tutakapofungamana na vigezo vya WHO wanavyofuata wenzetu"

Ameongeza "Kwa na mna Tanzania inavyoshungulikia jnaga kama hili tutatengwa, majirani watatutenga na kutengwa ni kwa namna hii ya kufunga mipaka na kidiplomasia tunasema mtengano huu unatumiiza na kututesa zaidi sisi kuliko majirani"

Amemalizia kuwa ni kweli diplomasia imeshuka kwasababu awamu hii haijengi kwenda na dunia inaangalia zaidi matatizo ya ndani na ina athari zake hasa tukipata janga hili na ndio maana tunasema diplomasia imeshuka sana
 
Mtu mweusi kweli hajiamini !

Usa kila siku analitukana shirika la afya kuwa linatumika na China
Magufuli kuwa challenges Ndio iwe kosa?

Huyu Baba sijui Kwanini hampendi Rais wetu

Marekani anatoa 500mil USD kila mwaka WHO

China anatoa 12mil USD kila mwaka

Africa and Tanzania combined 0 mil USD

Halafu Mwafrika uongee nini na kwa jeuri ipi?

Kua serious wewe acha unazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…